sasa unalalamika nini gentleman?
mbele unaumia, nyuma hutaki unasema unaumia pia, na hakuna namna nyingine sasa 🐒
Mmebaki na haya ukweli umedhihiri hamtaki kwenda kumchomoa mwenyekigoda!
sasa wewe gentleman hata ukiasi,Watu kusema wanapaishwa ni kulalamika?
Ndiyo maana hata uasi hamjui maana yake.
sasa wewe gentleman hata ukiasi,
si na kupiga makofi mimi pekeyangu na nakusweka ndani tena kwenye chumba changu tu cha ofisi na huwezi fanya lolote, ikiwa waasi ndio kama wewe?🐒
Huu ndio muonekano wa mwenyekiti lissu huko aliko mna dhihaka bila kumsaidia atoke!
Huu ndio muonekano wa mwenyekiti lissu huko aliko mna dhihaka bila kumsaidia atoke!
Kwa mara ya Kwanza namuona Bobwine aki Voice kwa ajilo ya Comrade wenzake. Wakati wa Mbowe alikaa kimya. Au alikuwa anajua kitu?Uasi ni neno la kiswahili likiwa na maana kamili ya kwenda kinyume na jambo.
Kuyakataa au kuhamasisha kuyakataa ya CCM na agenda zake zikiwamo za kutaka ufanyike uchaguzi wenye kuwapendelea wao, hakuwezi kuwa kosa la jinai.
View attachment 3301015
Kukinukisha dhidi ya CCM hakuwezi kuwa uhaini!
View attachment 3301017
Kumbe kwa tafsiri ya ma CCM na washirika wao, kila mpinzani akiwamo bwana ubwabwa ni wahaini!
Ndiyo maana si Lissu, CHADEMA wala upinzani wananyong'onyeshwa au ati kuwa watanyong'onyeshwa na mashtaka yenye vionjo vya kisiasa kama haya yaliyowahi kuwakuta wa aina ya kina Mandela, Nyerere, Hichilema, Faye, Jomo Kenyatta, Museveni, Kagame, Salva Kiir nk na bado wakawa na rais wa nchi zao!
Mpigania uhuru yupi katika nchi yake uasi ulioitwa uhaini na walalamikiwa haukumhusu?
Haya si ndiyo yale ya kina Mwabukusi, Dk. Slaa, Mdude au kina mwamba?
Kwa sababu kama hizo CCM na washirika wao wakajifiche wapi sasa wanaponyanyapaliwa kila kona?
View attachment 3301029
View attachment 3301021
View attachment 3301020
Utakonda mkuu kwa roho mbaya. Lissu lazima apitie hizi stage za ukombozi. We utaumia bure tuHuu ndio muonekano wa mwenyekiti lissu huko aliko mna dhihaka bila kumsaidia atoke!
G55 wali asi mbona hawajakamatwa😅😅Inayahusu sana ma kina viwembe, ChoiceinVariable, Ritz2, vipara vipya, na mienzao Uru pale, pichani iliyouchagua na kuukumbatia vilivyo u punda utu.
View attachment 3301083
G55 wali asi mbona hawajakamatwa😅😅
Back Bitters wa muda mrefu sana. TL alishinda kwa miujiza sanaHao si wenzao mkuu?
Katika historia ya dunia,nilikuwa sijawahi kumuona wala kumsikia dikteta mwanamke. Kwa mara ya kwanza naanza kumuona Samia dikteta mwanamke hapa Tanzania. Samia ajue kwamba haipendezi mwanamke kuwa dikteta .Haipendezi pia kumsingizia Tundu Antipas Lissu mashtaka ya uongo.
Naumia kweli mkuu tangu juzi najitokeza barabarani nifanye maandamano najikuta peke yangu wenye roho nzuri nyote mmejificha na id fake mtandaoni hamuonekani mtaani kwani mnaishi wapi wacheni kumkejeli lissu!Utakonda mkuu kwa roho mbaya. Lissu lazima apitie hizi stage za ukombozi. We utaumia bure tu
Nchi yetu inachafuka sana.Katika historia ya dunia,nilikuwa sijawahi kumuona wala kumsikia dikteta mwanamke. Kwa mara ya kwanza naanza kumuona Samia dikteta mwanamke hapa Tanzania. Samia ajue kwamba haipendezi mwanamke kuwa dikteta .Haipendezi pia kumsingizia Tundu Antipas Lissu mashtaka ya uongo.
#Free Tundu Antipas Lissu.
#Free him now.