Kuiasi CCM kunapoitwa uhaini, kutaendelea kumpaisha Lissu na upinzani kitaifa na hata kimataifa!

Kumbe baba wa taifa mwl Nyerere ndiyo muasisi wa kushawishi vijana wawe wabishi wenye uwezo wa kuasi mifumo kandamizi kwa taifa la Tanzania

Kuto kuasi mifumo kandamizi ya CCM ni kufurahia taifa letu kuendeleza umasikini

Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data
 
Acheni woga, kiufupi watanzania siyo wajinga tena Cha kufurahisha NRNE ishapenya nje ya mipaka Dunia ya wapenda haki wamejua Tz Kuna shida uchaguzi una shida Sasa acha tushikane mashati kitaeleweka tu
Gentleman,
kiuka sheria kwa namna yoyote ile hata kwa kuropoka ropoka tu kama huyo kibaka na tapeli wa kisiasa halafu uone kama kuna anaekuogopa?

utakamatwa na itawekwa ndani bila mbambamba zozote.

nchi hii inaendeshwa vizuri sana kwa misingi ya kisheria na katiba ya nchi na sio kwa mayowe ya watu wa ndani au nje ya nchi.
Ni vizuri kufahamu hili gentleman πŸ’
 
Kumbe baba wa taifa mwl Nyerere ndiyo muasisi wa kushawishi vijana wawe bishi wenye uwezo wa kuasi mifumo kandamizi kwa taifa la Tanzania

Kuto kuasi mifumo kandamizi ya CCM ni kufurahia taifa letu kuendeleza umasikini
Ulikua hujui na zipo rekodi nyingine nyingi za namna hio CCM kamwe hawatokuacha uzisikilize
 
Jambo ambalo tunasubilia kwa hamu ni reaction ya wanainchi kwa askari polisi cause ile imani kwaccm ishaondoka na imani kwa wapimzani wa mchongo kama mbowe, zito.kabwe na Kina prof lipumba washawajua so wanajua TL hanunuliki so hatutamuacha tutapiga kelele mpaka mtamuachia

Nasababu ya kumuachia ipo wapi pesa za uchaguzi hamna mpaka mkaombe Sasa mkienda kuomba mtaulizwa uchaguzi gani ikiwa mpinzani wa kweli yupo ndani so mtamuachia tu cause nyie si ombaomba
 
Huyu aliwahi kushughulikiwa wapi?
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu aliwahi kushughulikiwa wapi?
View attachment 3301149
gentleman,
samahani nitaangalia video yako baadae kidogo.

but ni muhim kuzingatia sheria bila shuruti kuepuka usumbufu wa mkono wa dola baadae. Kuropoka ropoka ni kitu mbaya sana kwenye nchi inayoongozwa kwa misingi ya kikatiba πŸ’
 
Ulikua hujui na zipo rekodi nyingine nyingi za namna hio CCM kamwe hawatokuacha uzisikilize
CCM walituandaa kuto kuhoji japo tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukihoji utaambiwa kama hutaki kuishi hapa uondoke,

Hili tatizo la kuhoji limebebwa kwenye ngazi zote za maisha iwe mashuleni, kanisani, vyuoni, kwenye vyama vya siasa nitaje vichaje tu, hivi karibuni waliohoji kuhusu tozo waliambiwa kama hawataki kulipa tozo waende burundi

Washika tonge wakiona unataka kuwanyang'anya tonge. (CCM), utaitwa mhaini ama siyo mzalendo, CCM wakiunda tume chafuzi za uchaguzi tukae kimya?

Tunaishi/tumeishi kwenye jamii ya kanyanga twende, jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe

Hitimisho CCM wakae wakijua hii jamii imeaanza kubadilika na chanzo cha kubadilika ni umasikini uliokithiri kwa mtu mmoja mmoja,
Vile vile hakuna anaye weza kuzuia mafuriko kwa mkono
Kwa zama hizi za kidijitali huwezi kuzuia mabadiliko, (the world 🌎 is at your fingertips)
 
Nape, Dc Longido, walichkuliwa hatua gani kwa kauli zao?
Walikiri live kwamba wizi wa kura ndio michezo yao...
Hizi sheria wao haziwahusu?
Au unaleta ushabiki na kuzungumza kama tupo 80's?
Cheap talker as always!
 
nenda ukawashtaki mahakamani gentleman,

Lakini pia jaribu kukiuka sheria tuone vile itakavyokua πŸ’
 
nenda ukawashtaki mahakamani gentleman,

Lakini pia jaribu kukiuka sheria tuone vile itakavyokua πŸ’
Ndio nakueleza..

Uache ushabiki mandazi wa kuandika ma****v kila uchwao as if people dont know kinachoendelea!
Hopeless!
 
Ndio nakueleza..

Uache ushabiki mandazi wa kuandika ma****v kila uchwao as if people dont know kinachoendelea!
Hopeless!
Gentleman,
mimi hua sishabikii chochote naeleza ukweli kwenye mambo ya msingi tu πŸ’
 
Sheria hizo hizo ziadhibu na wezi wa uchaguzi!
 
Nape, Dc Longido, walichkuliwa hatua gani kwa kauli zao?
Walikiri live kwamba wizi wa kura ndio michezo yao...
Hizi sheria wao haziwahusu?
Au unaleta ushabiki na kuzungumza kama tupo 80's?
Cheap talker as always!
Wanapima upepo
 
nenda ukawashtaki mahakamani gentleman,

Lakini pia jaribu kukiuka sheria tuone vile itakavyokua πŸ’

Mahakamani nendeni nyie, kwani hujui kwenye no reforms no elections hujui mnashitakiwa wapi?
 
Mahakamani nendeni nyie, kwani hujui kwenye no reforms no elections hujui mnashitakiwa wapi?
sasa unalalamika nini gentleman?

mbele unaumia, nyuma hutaki unasema unaumia pia, na hakuna namna nyingine sasa πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…