Kuiasi CCM kunapoitwa uhaini, kutaendelea kumpaisha Lissu na upinzani kitaifa na hata kimataifa!

sasa unalalamika nini gentleman?

mbele unaumia, nyuma hutaki unasema unaumia pia, na hakuna namna nyingine sasa 🐒

Watu kusema wanapaishwa ni kulalamika?

Ndiyo maana hata uasi hamjui maana yake.
 
Watu kusema wanapaishwa ni kulalamika?

Ndiyo maana hata uasi hamjui maana yake.
sasa wewe gentleman hata ukiasi,
si na kupiga makofi mimi pekeyangu na nakusweka ndani tena kwenye chumba changu tu cha ofisi na huwezi fanya lolote, ikiwa waasi ndio kama wewe?🐒
 
sasa wewe gentleman hata ukiasi,
si na kupiga makofi mimi pekeyangu na nakusweka ndani tena kwenye chumba changu tu cha ofisi na huwezi fanya lolote, ikiwa waasi ndio kama wewe?🐒

 
Kwa mara ya Kwanza namuona Bobwine aki Voice kwa ajilo ya Comrade wenzake. Wakati wa Mbowe alikaa kimya. Au alikuwa anajua kitu?
 
Kwa kicheko na bashasha zile?

Kwani hata mnayo amani ya moyo?

View attachment 3301205
Katika historia ya dunia,nilikuwa sijawahi kumuona wala kumsikia dikteta mwanamke. Kwa mara ya kwanza naanza kumuona Samia dikteta mwanamke hapa Tanzania. Samia ajue kwamba haipendezi mwanamke kuwa dikteta .Haipendezi pia kumsingizia Tundu Antipas Lissu mashtaka ya uongo.
#Free Tundu Antipas Lissu.
#Free him now.
 
Utakonda mkuu kwa roho mbaya. Lissu lazima apitie hizi stage za ukombozi. We utaumia bure tu
Naumia kweli mkuu tangu juzi najitokeza barabarani nifanye maandamano najikuta peke yangu wenye roho nzuri nyote mmejificha na id fake mtandaoni hamuonekani mtaani kwani mnaishi wapi wacheni kumkejeli lissu!
 
Nchi yetu inachafuka sana.

Trends za
1. Mh Mbowe ni Gaidi
2. Dr Slaa na Adv Mwabukusi ni Wahaini
3. Mh Tundu Lissu ni Mhaini

Hii ni kuchafuana kweli kweli. Dunia itasema Rais Mwanamke wa Tanzania ni Mtawala wa Kimabavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…