Nchi yetu inachafuka sana.
Trends za
1. Mh Mbowe ni Gaidi
2. Dr Slaa na Adv Mwabukusi ni Wahaini
3. Mh Tundu Lissu ni Mhaini
Hii ni kuchafuana kweli kweli. Dunia itasema Rais Mwanamke wa Tanzania ni Mtawala wa Kimabavu.
Naumia kweli mkuu tangu juzi najitokeza barabarani nifanye maandamano najikuta peke yangu wenye roho nzuri nyote mmejificha na id fake mtandaoni hamuonekani mtaani kwani mnaishi wapi wacheni kumkejeli lissu!
Ni kweli watz wengi wamekulia kwenye familia za kikatili na hivyo wao huvumilia ukatiri na kuukalia kimya as long as hauwahusu wao.
Wasimamizi wa Sheria hizi hawakumsikia huyo aliyesema kuna chama cha siasa wamepanga kwenda kununua virus vya ebola na m-pox kuwaulia Watz??gentleman,
samahani nitaangalia video yako baadae kidogo.
but ni muhim kuzingatia sheria bila shuruti kuepuka usumbufu wa mkono wa dola baadae. Kuropoka ropoka ni kitu mbaya sana kwenye nchi inayoongozwa kwa misingi ya kikatiba 🐒