Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Yupo mmoja mtaani kwangu, nimeoanda sana, ana hata 70 yuleUnamjuaje kuwa ana miaka hiyo?
Kwani bodaboda si ni ajira kama zingine? Unajua mwenye boda anayemiliki chombo anapata kiasi gani kwa siku. Hivi unajua kama mshahara wa mwalimu grade A haumfikii boda?Kuna mzee mmoja yule ako na 50s Kama sikosei..yeye na vijana wake watatu wote bodaboda miaka nenda Rudi..dah
hawa wazee walianza kuoa mademu wetu vijana, sasa wametufuata kabisa kwenye kuendesha bodaboda. Sijui dharau au niniHabari!
Binafsi ninapomwona bodaboda mtu mzima mwenye miaka 50-60 napata mshituko kidogo na kuanza kuiogopa kesho yangu.
Najiuliza maswali yafuatayo;
1. Kayumba ukumbwani mpaka kaamua kuingia kwenye kazi za vijana wanaoishi vijiweni kutwakutwa kwa utani na matusi?
2. Atafanya hiyo kazi mpaka lini, na siku akiacha ataenda kufanya kazi gani?
3. Je, Mimi nikiyumba uzeeni nitafanya kazi gani?
NJE YA MADA
Vijana tijifunze kuwekeza kwenye shughuli ambazo zitaleta matunda baadaye na si kuangalia leo tu.
Inashanga mtu kuwa na fikra za kijinga kama hizoKwani ukiendesha boda boda ndio umeyumba kimaisha ? ni kazi kama kazi nyingine cha umuhimu anapata hela ya mahitaji yake
Kwani bodaboda si ni ajira kama zingine? Unajua mwenye boda anayemiliki chombo anapata kiasi gani kwa siku. Hivi unajua kama mshahara wa mwalimu grade A haumfikii boda?
Ajira ni ipiAcha utani bodaboda sio ajira
Hujawahi kuwasikia polisi wakimuua jambazi au labda mtu kafa kwa ajali wanavyokadiria umri.Unamjuaje kuwa ana miaka hiyo?
Kuna mbaba mmoja na kijana wake wote wanapark kijiwe kimoja, sijui wana handle vipi matusi ya vijiweniKuna mzee mmoja yule ako na 50s Kama sikosei..yeye na vijana wake watatu wote bodaboda miaka nenda Rudi..dah