RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Ha ha ha nimecheka kwa mara ya kwanza siku ya leo.Huwezi kumlinganisha bodaboda na mtumishi wa umma kwa namna yoyote ile.
Mimi ninadhaminika, naweza kupata milioni zaidi ya kumi bila barua ya udhamini kutoka kwa mwenyekiti.
Mimi nikiugua hata miezi kadhaa nitaendelea kulamba mshahara na posho , natibiwa kwa bima n.k
Nyumba yangu sijawahi kumuona bodaboda mwenye nyumba kama yangu.
Acheni ujinga, bodaboda ni last option