Kuibuka kwa suala la bandari ya Bagamoyo ni uthibitisho kuwa Kikwete ndo anaeongoza nchi kwa sasa!

Alikuwa na ufanisi gani???

Mamilioni gani ya watanzania wanamkubali zaidi ya nyie chato gang na Burundi gang???

Kusudi gani la Mungu kalitendea wakati hata Kanisa katoliki tu ametofautiana nalo kwa roho mbaya yake ya kutojali maisha yao kwenye Corona????

Magufuli alikuwa mshenzi na ndo mana Mungu amemuua. Kataa kubali
 
Anayejua uzuri na ubaya wa Bandari ya Bagamoyo ni mtu aliyesoma mkataba. Wengi wetu tunapiga ramli tu.
 
Huu
Huu utopolo ungeuandikia kitabu kabisa, watanzania siowajinga wanaona kilichofanywa na Magu.

Sisi tunaangalia vituvinavyoonekana vilivyo fanywa kizalendo na aliekuwa rais wetu kipenzi.
Haya makelele yoote ya chuki binafsi ulioandika yanaweza kuishia humuhumu tu kwa nyie wapiga dili mlie banwa. Kama unataka kujua magu alikuwa shujaawetu chukua maspika makubwa tafuta uwanja alafu uitewatu uanzekusema hayamaneno yako ulioandika hapo uone reaction ya wananchi.

Wewe ni mpotoshaji tu, muda utaongea.
 
Vitu gani vinavyoonekana alivyofanya Magufuli?? Ulemavu wa Tundu Lissu???
 
Kila nafsi itaonja mauti, suala ni when and how, si why. Inshu yetu iwe je wakati ukifika tutaacha legacy, tutalitimiza kusudi? Kwa JPM kazi aliifanya, heshima ya nchi yetu aliijenga, na vizazi vitamuenzi.

Kama unahoji ufanisi wake rejea speech ya Mwinyi, "mwenzetu alitekeleza ndani ya miaka mi5 yale yaliyotushinda miaka 40".

Chato gang, na Burundi gang? Man, hata sijui unazungumza lugha gani hapa.

Kutofautiana na katoliki wenzake kuhusu corona? Bado sikuelewi. Kama alitofautiana nao mbona walimzika? Walitofautiana naye vipi kuhusu corona wakati hawakuwahi kuweka lockdown makanisa yao?

Mungu amemuua? Kama Mungu alitoa halafu akatwaa, sisi tusemeje zaidi ya kulibariki Jina Lake?
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

Hata kama haya yalosemwa juu ya mwendazake ni ya kweli, hili la bandari ya bagamoyo lazima tumuunge mkono tu. Kwa nini mtu usistuke unapoambiwa miaka 33 TRA wasisogee hapo, au bandari nyingine yoyote haitakiwi kuendelezwa kwa miaka 99. Au eti wachina wako tayari kutoa asilimia 90 ya gharama ya mradi wote!! Kwa wema gani huo? Kwa upendo gani walionao kwetu? Hii haihitaji elimu ya chuo kikuu kustuka. Lazima kuna deal somewhere behind kati ya hao wachina na wachache kati yetu.
 
Kuna waobweka baada ya simba kufa.we are watching you.2025 tutawadhibu we subiri.

CCM natakiwa kuficha aibu yenu.you are being manipulated to die 2025.
Labda kama mmeshakata tamaa ya kurudi 2025.kiogozi mkuu wa CCM akitaka kuchaghuliwa na wananchi 2025 lazima aanze jitihada za kumaliza miradi iliyoachwa na JPM .full stop.If JPM can not be trusted there is no one again in CCM to be trusted. So it to say CCM is dying slowly .Mkapa is gone,Mangula was about to go,JPM is gone.those are the only person could help CCM to say on power.
 
Kabla ya lolote. Tafuta ili ripoti ya huu mradi uisome.

Magu alitulisha matango pori.

Na huu mradi sasa una fanywa Msumbiji.
Wewe ndo ungetuletea hapa tukauona maana wewe inaashiria umeuona!
 
Unaandika kwa hasira sana,kwani na wewe ni miongoni mwa watakaopata mgawo kidogo? Mikataba yote inapaswa kuwekwa wazi maana hii nchi sio ya viongozi tu ni ya wote wao wanatuwakilisha,relax na tuleteeni huo mkataba wa mradi,msituambie "it was a very convincing presentation" sisi tutajuaje sasa? Acha ushamba!
 
Tumesema watuweke picha ya JPM Kwenye hela/pesa. Wao wanaendelea kupaka masizi kivuli chake. Sisi hakuwaelewe. Mwamba awekwe kwenye pesa.Ndio waendelee kumchafua lasivyo tutakutana 2025 harudi mtu mbungeni. Kuna watu tuliwapa kula sio kwasababu ya maneno na matendo yao. Bali ni sababu yailitaja jina lilobarikiwa la DR. MH. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
 
Na Bado huo mwanzo tu, nchi lazima irudi kwenye misingi bora ya UCHUMI,DEMOCRASIA...

Kama hupendi kunywa sumu umfuate MWENDAZAKE...🤣🤣🤣😂😂😂

Mh SASHA Samia Suluhu Hassan ,chapa kazi turudishe kwenye kicheko na furaha kama zama za Mwinyi na JK.

Hii nchi anaposhika MWISLAMU mambo yanakuwa safi sana.

Anapokuwa zamu ya Mkristu mwenzetu mambo yanakuwa hovyo.
Mama yetu tunakupenda sana tuko nyuma yako.
Tuongoze vema na tunakupa moyo.....👊👊👏👏👏🙏🙏🙏🤸‍♂️
 
Nguchiro
Assad alimbwela, na JPM kama ulivyomjua hakuwa mvumilivu sana kwa watu waliokuwa na ajenda zao walizozificha nyuma ya eti taaluma. Wewe unachokijua ni kwamba Assad katimuliwa basi, lakini Rais ana info za ndani zaidi kuliko wewe.
 
Vitu gani vinavyoonekana alivyofanya Magufuli?? Ulemavu wa Tundu Lissu???

Acheni kuchafua watu kwa vihoja uchwarauchwara, mara tundulisu mara watukwenye viroba yani mnatafuta uhalali wa kumchafua mtu bila ushahidi wowote.

Sisi tunaangalia maendeleo kwaujumlawake tunaongelea reli, vituo vya afya, barabara nzuri na imara kila mitaa na hatamtaanikwako miguuyako na macho yako yanashuhudia kama unajifanya huelewi.
Tunaongelea umeme karibu kilakijiji katika nchi hii, mradimkubwa wa Stigle, daraja kubwa busisi, fly over ubungo masoko, bus stands za kisasa nidhamu kwa watumishi wa uma.

Elimu namengine mengi siwezi kuyataja ungekuwa nashukrani ningekuambia uongezee wewe lakini kaanayo moyonitu yaendelee kuisuta nafsiyako.
 
Kwani akiongoza na tukaenda vizuri tu shida iko wapi?
 
Kwani ni uongo Tundu Lissu hakupigwa risasi? Ni uongo watu hawakuwekwa kwenye viroba???

Hivi una akili wewe??? Kuna Rais aliyefanya miradi mikubwa na mingi nchi hii Kama Kikwete??? Au Kwa sababu fedhuli wenu alienda kuzindua a Hadi stand na vyoo??? Kuna miradi mingi iliyozinduliwa nchi hii kama iliyozinduliwa na Makamu wa JK Dr Bilal??? Au hujui kwa nini aliitwa mzee wa kukata utepe????

Kwa kifupi huyo muuaji wenu hajafanya lolote! Miradi hata aliyofanya ni white elephant kama daraja la Busisi.
 
Kila nafsi itaonja mauti, suala ni when and how, si why. Inshu yetu iwe je wakati ukifika tutaacha legacy, tutalitimiza kusudi? Kwa JPM kazi aliifanya, heshima ya nchi yetu aliijenga, na vizazi vitamuenzi.
Alifanya kazi gani Magufuli acha undezi wewe??? Alileta heshima gani wakati hata viongozi wa SADC walioneka wakimsema kwa utendaji wake usiofaa???

Unamsema mzee Mwinyi ambae anaongea maneno huku akiwa hajui kaongea nini???

Chato gang na Burundi gangLeo huwajui wakati wewe ni mmoja wao???

Kwani kabisa likikupa makavu na kutofautiana na wewe hawakuziki??? Tena Kwa kuwafundisha walimpangia askofu sliyemnyang’anya passport ili amzike ili mjifunze vizuri!

Kwani hujui kuwa Mungu anaua??? Kasome tena kwenye biblia kifo cha sauli chanzo ni nini???
 
Daaah yani hakuna hata moja ulilomsingizia natamani kuidanlowd maana kunawajinga huku mwanza wanamsifia chaajabu mpaka waha pia wanaendelea kuunga juhudi kamaunavyojua tena huwezi kumuelimisha muha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…