hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Kumekuwa na tabia iliyozoeleka Sasa ya wanainchi wakiwa na Mabango ya kero mbalimbali mbele ya Rais Magufuli. Hii ni Ktk ziara zake mbalimbali za kuwatumikia wanainchi.
Je, hali hii inamaanisha ni Kushindwa kwa viongozi wa kisiasa/ wawakilishi na watendaji/ watumishi wa umma katika kazi zao?
Wale wa mabango wengi wao wanakuwa wametengenezwa kwa ajili ya kubalance mambo flan