Kuibuka kwa wananchi wakiwa na Mabango ya kero mbele ya Rais Magufuli. Je, ni Kushindwa kwa viongozi wa kisiasa na watendaji mbalimbali?

Kumekuwa na tabia iliyozoeleka Sasa ya wanainchi wakiwa na Mabango ya kero mbalimbali mbele ya Rais Magufuli. Hii ni Ktk ziara zake mbalimbali za kuwatumikia wanainchi.

Je, hali hii inamaanisha ni Kushindwa kwa viongozi wa kisiasa/ wawakilishi na watendaji/ watumishi wa umma katika kazi zao?

Wale wa mabango wengi wao wanakuwa wametengenezwa kwa ajili ya kubalance mambo flan
 
Kumekuwa na tabia iliyozoeleka Sasa ya wanainchi wakiwa na Mabango ya kero mbalimbali mbele ya Rais Magufuli. Hii ni Ktk ziara zake mbalimbali za kuwatumikia wanainchi.

Je, hali hii inamaanisha ni Kushindwa kwa viongozi wa kisiasa/ wawakilishi na watendaji/ watumishi wa umma katika kazi zao?
Huo huwa ni mpango unaandaliwa na system ili kumpa jamaa yen utukufu. Ili aaonekane kuwa bila yeye hakuna linalowezekana.

maandalizi ya Mitano + 2 tena
 
Back
Top Bottom