Tetesi: Kuimarika kwa shillingi ya Tanzania

Hiyo ni siri yao lakini cha muhimu kwetu ni kuwa saa mbili chakula tunakula wote, hakuna tena ile ya kuamka kumuandalia baba chakula saa sita usiku😀😀
Asante sana mkuu. Kumbe na wewe umeona hii ngoma. Nilikuwa na jamaa zangu ambao walikuwa amefikia hatua ambayo naweza kusema ni kukufuru. Weekend walikuwa wanajikusanya watu 3 wanachukua kila mtu kimada wake wanakodisha ndege wanaenda hoteli za mbugani huko au Zanzibar wana-spend Jumatatu wanarudi wanaingia kazini. Na hao wote wameoa na walikuwa wanawapiga wake zao chenga. Siku hizi tuko nao kitaani kila weekend wao kazi imekuwa ni kumlaani Magufuli tu.
 
Wewe kipindi kile ilikuwa kufuru, vimada walifunguliwa biashara, walipelekwa Dubai, wengine bila heshima eti ananunua range rover mke haigusi ni gari ya baba wakati akifika kazini mchepuko anazunguka nalo mjini, mama wa watu akiona inabidi akonde tu.
 
Back
Top Bottom