Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikatae wito huwezi jua pengine kuna thamani nyingine zaidi...You must be kidding.
Asante sana mkuu. Kumbe na wewe umeona hii ngoma. Nilikuwa na jamaa zangu ambao walikuwa amefikia hatua ambayo naweza kusema ni kukufuru. Weekend walikuwa wanajikusanya watu 3 wanachukua kila mtu kimada wake wanakodisha ndege wanaenda hoteli za mbugani huko au Zanzibar wana-spend Jumatatu wanarudi wanaingia kazini. Na hao wote wameoa na walikuwa wanawapiga wake zao chenga. Siku hizi tuko nao kitaani kila weekend wao kazi imekuwa ni kumlaani Magufuli tu.Hiyo ni siri yao lakini cha muhimu kwetu ni kuwa saa mbili chakula tunakula wote, hakuna tena ile ya kuamka kumuandalia baba chakula saa sita usiku😀😀
Wewe kipindi kile ilikuwa kufuru, vimada walifunguliwa biashara, walipelekwa Dubai, wengine bila heshima eti ananunua range rover mke haigusi ni gari ya baba wakati akifika kazini mchepuko anazunguka nalo mjini, mama wa watu akiona inabidi akonde tu.Asante sana mkuu. Kumbe na wewe umeona hii ngoma. Nilikuwa na jamaa zangu ambao walikuwa amefikia hatua ambayo naweza kusema ni kukufuru. Weekend walikuwa wanajikusanya watu 3 wanachukua kila mtu kimada wake wanakodisha ndege wanaenda hoteli za mbugani huko au Zanzibar wana-spend Jumatatu wanarudi wanaingia kazini. Na hao wote wameoa na walikuwa wanawapiga wake zao chenga. Siku hizi tuko nao kitaani kila weekend wao kazi imekuwa ni kumlaani Magufuli tu.