Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #41
Hata wanawake wapo wanamng'ang'ania mtu Hadi mwingine anajibebesha na mimba mwisho wake Huwa mbaya pia
Hii iliyopo kwenye jamii kuwa Mwanamke Mbaya au Mwanaume Mbaya chanzo chake ni hukohuko ndoani.
Mama anamwambia Binti yake wanaume wabaya reference ni babaake.
Baba anawaambia watoto wasimuamini Mwanamke bila kutoa sababu lakini reference ni mkewe(mamayao)