Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekuambia usiende shule nani?
Aliyekuambia uende shule na usikuelewa nani? ndo nyie mnaokariri hata maana hamjui....
na usiaibishe watu wenye degree zao hapa
Tanzania nchi ya ajabu sana, hata haijulikani watanzania wanaongea lugha gani..ndio maana kila mtu anaongea lugha apendayo!! Ni kawaida mkuu!!
Kaa na degree yako uchemshie chai unyweHahaha wana degree za nini?That means people write in english to notify us they have a degree?NI USHAMBA,kama kaomba ushauri kwa kiswahili,jibu kwa kiswahili.Mie pia nna degree,kawaida tu.
Kaa na degree yako uchemshie chai unywe
kwani ww mgeni kama mimi humu jamvini? humu jamvini watu wameenda shule mkuu wengine hawapendi kuchanganya ila kwakua ngeli..imemkolea anajikuta tu kashusha mavocal yake,huo ni mtazamo wangu from my experience humu ndani
Kiswangili kinawatoa watu jasho sana humu
kwani wakati anafungua account jf zile rule alizisoma kwa kiswahili?Mimi ni mgeni,lakin napochaingia naangalia,kama muomba ushauri kachanganya na mie nachanganya,kama kaandika kiswahili tu,unajuaje kama ataelewa?
Unamaanisha "kwani wakati anafungua akaunti jf zile sheria alizisoma kwa kiswahili?Jibu akaunti mtu anaweza hata kufunguliwa na mtu mwingine,ni rahisi.kwani wakati anafungua account jf zile rule alizisoma kwa kiswahili?
Mkuu kuna misamiati mingine ni migumu kuiandika kwa kiswahili...
U know what I mean eeh....
!
!
lugha sio ushamba bana wala ujanja...ila pia kuna muda mchangiaji anakuwa halengi mada kuu ila uelekeo wa wachangiaji wengine.