jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,603
- 3,776
mkuu pokea like...loading error...duu kaz ipo,basi swali likiulizwa kwa kiswahili lijibiwe kwa kiswahili,likiulizwa kwa kiingereza lijibiwe kwa kiingera,na hizi degree zinazopigiwa kelele ni zipi?bachelors au masters??? NB: Mtu anaweza akawa na hizo degree mnazosema na bado akawa anapiga zee zee u know....na mtu anaweza asiwe na hizo degree mnazosema,lakini kwa sababu ana back ground nzuri akawa anatema ngeli kwa kwenda mbele.