Kuingiza KIINGEREZA kwenye mada za KISWAHILI ni USHAMBA.

Kuingiza KIINGEREZA kwenye mada za KISWAHILI ni USHAMBA.

It depends. Some people can express themselves better in English than in Swahili. That is why even in Universities you wont find lecturers teaching in Swahili because they themselves learnt those things in English. So when a person want an advice on a technical issue, i should rather use English to explain because I dont know the Swahili words of the advice. I hope umenielewa mkuu!
 
Mimi nakuelewa,tatizo jamii kubwa ya watanzania hawaielewi hiyo lugha,kama ni hivyo inabid mtu atafute mkalimani...Sijasema ni vibaya kutumia kiingereza,ila kwa mtu alieomba ushaur kwa kutumia kiswahili.
 
Aliyekuambia uende shule na usikuelewa nani? ndo nyie mnaokariri hata maana hamjui....
na usiaibishe watu wenye degree zao hapa

50CENT ana digrii ya nini?froyd mywether ana master ya nn?kujua lugha nyngne espcly british co usomi poyoyo weeeh,hata baba riz ni dokta lakn yai lnamtenda vlvyo
 
Jaman unakuta mtu kaomba
USHAURI,kaandika kwa lugha ya KISWAHILI,basi watakuja mafundi watatia
mbwembwe kibao wa kuandika KIINGEREZA.Unajuaje kama mtoa mada
anaelewa?Ni USHAMBA maana hata sie tunajua hiyo lugha na tumesoma hadi
degree moja na zaidi.

Nadhani hujakielewa ulichokileta, Kiingereza kinafundishwa tangu darasa la tatu kwa shule za kawaida za msingi. Hii ina maana kuwa mtu yeyote alie na elimu ya darasa la saba amejifunza, sasa kinafundishwa kwa faida Gani kama hakitakiwi kutumika? Au kinafundishwa ili mitihani iwe migumu? Acha ushamba
 
Yani unatumia JF, umejua maana ya Home, New Posts, Tech and Gadgets, Profile, Forum, Private Message, Settings, Reply, Reply with quotes, vyote alafu unalalamika watu kuchanganya ngeli na kiswahili? hiyo degree uliyoisema mbona nimeanza "kuidoubt"??
em nitafsirie hapo nlipofanya quotation

Ukisoma vizuri,mtoa mada hana shida na lugha,amewasema wale wengi wasio elewa english.
 
Ukisoma vizuri,mtoa mada hana shida na lugha,amewasema wale wengi wasio elewa english.
Sasa hao kwani wameshindwa kufungua JF? hadi kufika hatua ukapata posts umepitia kingereza tupu, hta neno lenyewe jamiiforums ni ngeli hiyo part ya forums, watu humu huandika kingereza cha kawaida sana neno moja mawili, umeweza kuelewa maneno mengine yote utashindwa kuelewa swanglish ambayo siku hizi hata majumbani inatumika kila kona...
 
Watu wanatumia simu,zina lugha ya kiingereza lakin ninachosema ni mtu kaomba ushauri,we unaporomosha kiingereza unajuaje kama ujumbe unafika?
 
Jaman unakuta mtu kaomba USHAURI,kaandika kwa lugha ya KISWAHILI,basi watakuja mafundi watatia mbwembwe kibao wa kuandika KIINGEREZA.Unajuaje kama mtoa mada anaelewa?Ni USHAMBA maana hata sie tunajua hiyo lugha na tumesoma hadi degree moja na zaidi.
shahada
 
Kiingereza,kifaransa hakihitaji degree,acha ujinga,wangapi wana degree+ na hawajui kujieleza?
 
Back
Top Bottom