Kuingiza KIINGEREZA kwenye mada za KISWAHILI ni USHAMBA.

Hahaha wana degree za nini?That means people write in english to notify us they have a degree?NI USHAMBA,kama kaomba ushauri kwa kiswahili,jibu kwa kiswahili.Mie pia nna degree,kawaida tu.

duhhhh...sasa kaka umeongea nini na wewe unafanya nini ..
 
kwani ww mgeni kama mimi humu jamvini? humu jamvini watu wameenda shule mkuu wengine hawapendi kuchanganya ila kwakua ngeli..imemkolea anajikuta tu kashusha mavocal yake,huo ni mtazamo wangu from my experience humu ndani

Wengine hata hatujaenda shule, mie hapa elimu yangu ya primary ila nachanganya kuleta swaga, si unajua mjini hapa...
 
Mie binafsi sioni tatizo mtu akitumia lugha mbili kuelezea jambo fulani, kama hujaelewa uliza, hutotoka bure mkuu, utakua umefeed your brain kwa tonge moja la ugali.
 
Hahaha wana degree za nini?That means people write in english to notify us they have a degree?NI USHAMBA,kama kaomba ushauri kwa kiswahili,jibu kwa kiswahili.Mie pia nna degree,kawaida tu.
na wewe sasa umeandika nn hapo si umevuruga vilevile…usimyooshee mwenzio kidole vinne vinakutazama wewe mkuu...
 
Jaman unakuta mtu kaomba USHAURI,kaandika kwa lugha ya KISWAHILI,basi watakuja mafundi watatia mbwembwe kibao wa kuandika KIINGEREZA.Unajuaje kama mtoa mada anaelewa?Ni USHAMBA maana hata sie tunajua hiyo lugha na tumesoma hadi degree moja na zaidi.
Mkuu, mbona wewe mwenyewe hujui Kiswahili? Huwezi 'kuandika kiingereza' hata siku moja!

Hahaha wana degree za nini?That means people write in english to notify us they have a degree?NI USHAMBA,kama kaomba ushauri kwa kiswahili,jibu kwa kiswahili.Mie pia nna degree,kawaida tu.
Naona hata wewe ni MSHAMBA tu kama hao unaowaita WASHAMBA! Unachanganya kiingereza kwenye uzi wako uliouandika kwa kiswahili, umejuaje kwamba wote tunaelewa kiingereza?
 
ni ushamba ulionao

Swali lenyewe hata hujui unachokiuliza,inaelekea ulikimbia shule wewe,promotion ni ushamba?Nimeweka uzi huu,ili wasioelewa kama wewe tuwasaidie.
 
Usikur
Usikurupuke,hiyo post ilikua kumjibu mtu aliesema kosa ni langu kukimbia shule,na ALICHANGANYA LUGHA,KWA HIYO NILIKUA SAHIHI...
 
hili suala kweli linaniboa hata mimi
kuna siku niliomba ushauri JF dokta...dadeki nikaandikiwa bonge la uzi lenye kiiengereza cha baolojia...lireeefu............hata uzi nikaususa!!!
 
Mkuu, mbona wewe mwenyewe hujui Kiswahili? Huwezi 'kuandika kiingereza' hata siku moja!

Naona hata wewe ni MSHAMBA tu kama hao unaowaita WASHAMBA! Unachanganya kiingereza kwenye uzi wako uliouandika kwa kiswahili, umejuaje kwamba wote tunaelewa kiingereza?

Neno 'kiingereza' sio kiswahili?Ulitaka niandike 'kidhungu'au?Sio kila kidhungu ni kiingereza hahaaa
 
hili suala kweli linaniboa hata mimi
kuna siku niliomba ushauri JF dokta...dadeki nikaandikiwa bonge la uzi lenye kiiengereza cha baolojia...lireeefu............hata uzi nikaususa!!!

Bora mkuu umetoa ushuhuda hapa hapa.
 
Jaman unakuta mtu kaomba USHAURI,kaandika kwa lugha ya KISWAHILI,basi watakuja mafundi watatia mbwembwe kibao wa kuandika KIINGEREZA.Unajuaje kama mtoa mada anaelewa?Ni USHAMBA maana hata sie tunajua hiyo lugha,u na tumesoma hadi degree moja na zaidi.
Degree=Shahada ya kwanza.
 
Swali lenyewe hata hujui unachokiuliza,inaelekea ulikimbia shule wewe,promotion ni ushamba?Nimeweka uzi huu,ili wasioelewa kama wewe tuwasaidie.

HAha !!!!uache matangazo nani kasema kingereza uwe na iko kistashada chako ,watu wamechanganya lugha kwahiyo??ushamba ni nini hujanijibu,una uwezo kiasi gani wakunisaidia kwenye mada ya kipuuzi kama hii?
au unadhani kilamtu amefumbwa kama wewe

kama ulijua maana ya promotion uliuliza ya nini?
Narudia PROMOTION NI USHAMBA ULIO NAO.
 
Hahaha wana degree za nini?That means people write in english to notify us they have a degree?NI USHAMBA,kama kaomba ushauri kwa kiswahili,jibu kwa kiswahili.Mie pia nna degree,kawaida tu.

ni ushamba kuchangaya kiingereza katika mada ya kiswahili kama ulivyofanya wewe hapa.
 
hili suala kweli linaniboa hata mimi
kuna siku niliomba ushauri JF dokta...dadeki nikaandikiwa bonge la uzi lenye kiiengereza cha baolojia...lireeefu............hata uzi nikaususa!!!

Na kwa hasira ukapiga bao 3 za punyeto.
 
Hahaha wana degree za nini?That means people write in english to notify us they have a degree?NI USHAMBA,kama kaomba ushauri kwa kiswahili,jibu kwa kiswahili.Mie pia nna degree,kawaida tu.

Hahahaaa mkuu naona umeongea kithungu na wewe hapa kuonyesha msisitizo.
 
Back
Top Bottom