jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,603
- 3,776
mkuu pokea like...loading error...duu kaz ipo,basi swali likiulizwa kwa kiswahili lijibiwe kwa kiswahili,likiulizwa kwa kiingereza lijibiwe kwa kiingera,na hizi degree zinazopigiwa kelele ni zipi?bachelors au masters??? NB: Mtu anaweza akawa na hizo degree mnazosema na bado akawa anapiga zee zee u know....na mtu anaweza asiwe na hizo degree mnazosema,lakini kwa sababu ana back ground nzuri akawa anatema ngeli kwa kwenda mbele.
duu kaz ipo,basi swali likiulizwa kwa kiswahili lijibiwe kwa kiswahili,likiulizwa kwa kiingereza lijibiwe kwa kiingera,na hizi degree zinazopigiwa kelele ni zipi?bachelors au masters??? NB: Mtu anaweza akawa na hizo degree mnazosema na bado akawa anapiga zee zee u know....na mtu anaweza asiwe na hizo degree mnazosema,lakini kwa sababu ana back ground nzuri akawa anatema ngeli kwa kwenda mbele.
will try my best level ili nisichanganye kiswahili na kiingereza but sometimes i just feel like kiswahili kigumu and you know sio wote wanajua kiswahili fasaha OMG
hahahahhaahah
will try my best level ili nisichanganye kiswahili na kiingereza but sometimes i just feel like kiswahili kigumu and you know sio wote wanajua kiswahili fasaha OMG
hahahahhaahah
You know what! People wengi wana traits tofauti tofauti so don't panic waelewe hivyo hivyo because sisi WAHAYA tusipo mix na English kidogo Kiswangish watu watajuaje tume-read?Jaman unakuta mtu kaomba USHAURI,kaandika kwa lugha ya KISWAHILI,basi watakuja mafundi watatia mbwembwe kibao wa kuandika KIINGEREZA.Unajuaje kama mtoa mada anaelewa?Ni USHAMBA maana hata sie tunajua hiyo lugha na tumesoma hadi degree moja na zaidi.
Jaman unakuta mtu kaomba USHAURI,kaandika kwa lugha ya KISWAHILI,basi watakuja mafundi watatia mbwembwe kibao wa kuandika KIINGEREZA.Unajuaje kama mtoa mada anaelewa?Ni USHAMBA maana hata sie tunajua hiyo lugha na tumesoma hadi degree moja na zaidi.
You know what! People wengi wana traits tofauti tofauti so don't panic waelewe hivyo hivyo because sisi WAHAYA tusipo mix na English kidogo Kiswangish watu watajuaje tume-read?
It's very simple,mtu akiomba ushauri kama lugha inamtatiza aweke na conditions,otherwise let people be! After all we are all exercising 'freedom of speech'.
Kiswangili kinawatoa watu jasho sana humu
Jaman unakuta mtu kaomba USHAURI,kaandika kwa lugha ya KISWAHILI,basi watakuja mafundi watatia mbwembwe kibao wa kuandika KIINGEREZA.Unajuaje kama mtoa mada anaelewa?Ni USHAMBA maana hata sie tunajua hiyo lugha na tumesoma hadi degree moja na zaidi.
ndio wale wale??? unakosoa nini unafanya nini? mbona na wewe umechanganya lugha??
Wanaojidai na english za ku copy comments kwenye mablog mengine na kuja kujidai nazo humu jf wananikera kweli.
Jaman unakuta mtu kaomba USHAURI,kaandika kwa lugha ya KISWAHILI,basi watakuja mafundi watatia mbwembwe kibao wa kuandika KIINGEREZA.Unajuaje kama mtoa mada anaelewa?Ni USHAMBA maana hata sie tunajua hiyo lugha na tumesoma hadi degree moja na zaidi.
ushamba ni nini?
mbona promotion?
tatizo lugha au ujumbe?
Hahaha wana degree za nini?That means people write in english to notify us they have a degree?NI USHAMBA,kama kaomba ushauri kwa kiswahili,jibu kwa kiswahili.Mie pia nna degree,kawaida tu.
Promotion ndio nin mkuu?Sijakupataaa