Hahaha wana degree za nini?That means people write in english to notify us they have a degree?NI USHAMBA,kama kaomba ushauri kwa kiswahili,jibu kwa kiswahili.Mie pia nna degree,kawaida tu.
kwani ww mgeni kama mimi humu jamvini? humu jamvini watu wameenda shule mkuu wengine hawapendi kuchanganya ila kwakua ngeli..imemkolea anajikuta tu kashusha mavocal yake,huo ni mtazamo wangu from my experience humu ndani
na wewe sasa umeandika nn hapo si umevuruga vilevile…usimyooshee mwenzio kidole vinne vinakutazama wewe mkuu...Hahaha wana degree za nini?That means people write in english to notify us they have a degree?NI USHAMBA,kama kaomba ushauri kwa kiswahili,jibu kwa kiswahili.Mie pia nna degree,kawaida tu.
Mkuu, mbona wewe mwenyewe hujui Kiswahili? Huwezi 'kuandika kiingereza' hata siku moja!Jaman unakuta mtu kaomba USHAURI,kaandika kwa lugha ya KISWAHILI,basi watakuja mafundi watatia mbwembwe kibao wa kuandika KIINGEREZA.Unajuaje kama mtoa mada anaelewa?Ni USHAMBA maana hata sie tunajua hiyo lugha na tumesoma hadi degree moja na zaidi.
Naona hata wewe ni MSHAMBA tu kama hao unaowaita WASHAMBA! Unachanganya kiingereza kwenye uzi wako uliouandika kwa kiswahili, umejuaje kwamba wote tunaelewa kiingereza?Hahaha wana degree za nini?That means people write in english to notify us they have a degree?NI USHAMBA,kama kaomba ushauri kwa kiswahili,jibu kwa kiswahili.Mie pia nna degree,kawaida tu.
ni ushamba ulionao
duhhhh...sasa kaka umeongea nini na wewe unafanya nini ..
UsikurMkuu, mbona wewe mwenyewe hujui Kiswahili? Huwezi 'kuandika kiingereza' hata siku moja!
Naona hata wewe ni MSHAMBA tu kama hao unaowaita WASHAMBA! Unachanganya kiingereza kwenye uzi wako uliouandika kwa kiswahili, umejuaje kwamba wote tunaelewa kiingereza?
Mkuu, mbona wewe mwenyewe hujui Kiswahili? Huwezi 'kuandika kiingereza' hata siku moja!
Naona hata wewe ni MSHAMBA tu kama hao unaowaita WASHAMBA! Unachanganya kiingereza kwenye uzi wako uliouandika kwa kiswahili, umejuaje kwamba wote tunaelewa kiingereza?
hili suala kweli linaniboa hata mimi
kuna siku niliomba ushauri JF dokta...dadeki nikaandikiwa bonge la uzi lenye kiiengereza cha baolojia...lireeefu............hata uzi nikaususa!!!
Degree=Shahada ya kwanza.Jaman unakuta mtu kaomba USHAURI,kaandika kwa lugha ya KISWAHILI,basi watakuja mafundi watatia mbwembwe kibao wa kuandika KIINGEREZA.Unajuaje kama mtoa mada anaelewa?Ni USHAMBA maana hata sie tunajua hiyo lugha,u na tumesoma hadi degree moja na zaidi.
Swali lenyewe hata hujui unachokiuliza,inaelekea ulikimbia shule wewe,promotion ni ushamba?Nimeweka uzi huu,ili wasioelewa kama wewe tuwasaidie.
Aliyekuambia uende shule na usikuelewa nani? ndo nyie mnaokariri hata maana hamjui....
na usiaibishe watu wenye degree zao hapa
Hahaha wana degree za nini?That means people write in english to notify us they have a degree?NI USHAMBA,kama kaomba ushauri kwa kiswahili,jibu kwa kiswahili.Mie pia nna degree,kawaida tu.
hili suala kweli linaniboa hata mimi
kuna siku niliomba ushauri JF dokta...dadeki nikaandikiwa bonge la uzi lenye kiiengereza cha baolojia...lireeefu............hata uzi nikaususa!!!
KWA HESHIMA NA TAADHIMA,namuomba kiranga popote alipo ajibu hizi tuhuma
Hahaha wana degree za nini?That means people write in english to notify us they have a degree?NI USHAMBA,kama kaomba ushauri kwa kiswahili,jibu kwa kiswahili.Mie pia nna degree,kawaida tu.