Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
It depends. Some people can express themselves better in English than in Swahili. That is why even in Universities you wont find lecturers teaching in Swahili because they themselves learnt those things in English. So when a person want an advice on a technical issue, i should rather use English to explain because I dont know the Swahili words of the advice. I hope umenielewa mkuu!
Aliyekuambia uende shule na usikuelewa nani? ndo nyie mnaokariri hata maana hamjui....
na usiaibishe watu wenye degree zao hapa
Kwangu kiswahili kigumu aisee
Mbona hapo umeandika kiswahili fasaha?
Jaman unakuta mtu kaomba
USHAURI,kaandika kwa lugha ya KISWAHILI,basi watakuja mafundi watatia
mbwembwe kibao wa kuandika KIINGEREZA.Unajuaje kama mtoa mada
anaelewa?Ni USHAMBA maana hata sie tunajua hiyo lugha na tumesoma hadi
degree moja na zaidi.
Yani unatumia JF, umejua maana ya Home, New Posts, Tech and Gadgets, Profile, Forum, Private Message, Settings, Reply, Reply with quotes, vyote alafu unalalamika watu kuchanganya ngeli na kiswahili? hiyo degree uliyoisema mbona nimeanza "kuidoubt"??
em nitafsirie hapo nlipofanya quotation
Ukisoma vizuri,mtoa mada hana shida na lugha,amewasema wale wengi wasio elewa english.
Sasa hao kwani wameshindwa kufungua JF? hadi kufika hatua ukapata posts umepitia kingereza tupu, hta neno lenyewe jamiiforums ni ngeli hiyo part ya forums, watu humu huandika kingereza cha kawaida sana neno moja mawili, umeweza kuelewa maneno mengine yote utashindwa kuelewa swanglish ambayo siku hizi hata majumbani inatumika kila kona...Ukisoma vizuri,mtoa mada hana shida na lugha,amewasema wale wengi wasio elewa english.
Watu wanatumia simu,zina lugha ya kiingereza lakin ninachosema ni mtu kaomba ushauri,we unaporomosha kiingereza unajuaje kama ujumbe unafika?Sasa hao kwani wameshindwa kufungua JF? hadi kufika hatua ukapata posts umepitia kingereza tupu, hta neno lenyewe jamiiforums ni ngeli hiyo part ya forums, watu humu huandika kingereza cha kawaida sana neno moja mawili, umeweza kuelewa maneno mengine yote utashindwa kuelewa swanglish ambayo siku hizi hata majumbani inatumika kila kona...
shahadaJaman unakuta mtu kaomba USHAURI,kaandika kwa lugha ya KISWAHILI,basi watakuja mafundi watatia mbwembwe kibao wa kuandika KIINGEREZA.Unajuaje kama mtoa mada anaelewa?Ni USHAMBA maana hata sie tunajua hiyo lugha na tumesoma hadi degree moja na zaidi.
Hahahaaa mkuu naona umeongea kithungu na wewe hapa kuonyesha msisitizo.
Ni kweli watu humu hawajui kiswahili na kama tungekuwa tukiongea kikabila humu tunaelewan basi ingekuwa balaaAise ni shida,inabidi mtu akiomba ushauri atafute na mkalimani.
Jaman unakuta mtu kaomba USHAURI,kaandika kwa lugha ya KISWAHILI,basi watakuja mafundi watatia mbwembwe kibao wa kuandika KIINGEREZA.Unajuaje kama mtoa mada anaelewa?Ni USHAMBA maana hata sie tunajua hiyo lugha na tumesoma hadi degree moja na zaidi.