Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Yaani muwatoe watu kwenye ulaji kwa maridhiano??Sio maandamano, ni mapinduzi ya kuchukua bara letu tuamue mambo yetu wenyewe bila kupangiwa na wazungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani muwatoe watu kwenye ulaji kwa maridhiano??Sio maandamano, ni mapinduzi ya kuchukua bara letu tuamue mambo yetu wenyewe bila kupangiwa na wazungu.
Huko uko mbali
Me nasema mtu mweusi anayedhulumu kura ngazi ya kitongoji
Mtu mweusi anayeiba dawa hospital
Mtu mweusi anayeiba cement ya gorofa Kariakoo
Mtu mweusi anayejali maslahi yake kuliko wenzake
Tuanze na hawa kunguni kabla ya kupambana na sera za wazungu
Yaani ndani inapigwa na mkeoKupambana na traffic police anayechukua rushwa kwa bodaboda sio dawa ya matatizo yetu. Tunataka tuamue wenyewe kuhusu kahawa yetu, chai yetu, samaki wetu, madini na kila kitu kwenye utajiri wa bara letu la Afrika. Sio mzungu atupangie anavyotaka yeye. Hawa viongozi wetu ni magumashi, au wewe unielewi?
Yeah!...kujikomboa kwenye mfumo ya kinyonyaji iliyowekwa na hao mabwanyenye wa magharibi sio rahisi......Sio maandamano, ni mapinduzi ya kuchukua bara letu tuamue mambo yetu wenyewe bila kupangiwa na wazungu.
Kama mnabisha mchagueni rais kutoka chama kingine chochote mtaona, hata Mbowe ziara yake ya kwanza itakuwa Washington DC kupiga picha na Trump. Mimi nimekaa pale
Kuiondoa CCM ni sawa na kupoteza muda kwasababu chama kingine kitakachochukua nafasi ya kuongoza kiuchumi kitakuwa kina tumia mfumo huu wa sasa.
Sina elimu ya juu kama great thinkers wengi humu ndani, hiki ninachosema si biblia au msahafu, ni mawazo na msimamo wangu binafsi nilioamka nao leo
Nasema hivi kwasababu sioni kama bara letu la Afrika lina uhuru wa kujiamulia mambo yake. Sisi bado tunapangiwa kila kitu cha kufanya mpaka bei za mazao na rasilimali zetu.
Tumekaa tunapiga kelele kuhusu Mama Samia na CCM lakini wasomi wetu na wawakilishi wetu wote hawataki kusimama kwenye ukweli kwasababu wanazozijua.
Mfumo wa siasa na uchumi, si kwa Tanzania tu, wa bara letu la Afrika unasimamiwa na mataifa ya magharibi ndio maana nasema hata akija Mbowe madarakani nothing will change. Wote hawana kiburi mbele ya mzungu. Wote hawako kwa ajili ya Afrika. Hawapo kusimamia mitazamo ya wakina Mwalimu Nyerere, Thomas Sankara, Patrice Lumumba na wana wa Afrika wengine. Wako kifamilia zaidi kuliko bara letu tukufu. Wako kwa ajili ya kusujudia bwana zao kuliko kutetea mtu mweusi mzawa.
Kwa hili nina mifano mingi, lakini nisifanye gazeti liwe refu nitatoa kwenye comments.
Nini kifanyike? Walivyofanya GenZ wa Kenya kifanyike kwa Afrika nzima. We need revolution. Sio Ruto must go tu, Samia must go, Kagame must go, Haikande Hichilema must go, Filipe Nyusi must go na wengineo wote pamoja na system nzima waende tuanze upya. Otherwise tutakuwa masikini mpaka wajukuu na vitukuu watakuja kutulaumu.
I said.
Mbona Egypt, South Africa, Angola, NigeriaNi ukweli ambao watu wengi hawataki kuusikia hakuna mabadiliko yatayokea hsta ukimchangua Mbowe chini ya hii system
Yeah!...kujikomboa kwenye mfumo ya kinyonyaji iliyowekwa na hao mabwanyenye wa magharibi sio rahisi......
Ni kweli,maana kuna watu wanajiona wao ndo waoMabadiliko yanatakiwa yawe ya Afrika yote si nchi moja, si unaona Zimbabwe?
Viongozi wa kutuongoza kutekeleza haya, kuwapata ndio mtihani.Ni rahisi kuliko tunavyofikiria, kitu cha kufanya sasa hivi tuwape wenzetu elimu, hata kama sio wao lakini ipo siku watoto au wajukuu zao wataelewa. Tusikate tamaa mpaka Afrika irudi mikononi mwa wazawa, la sivyo wajukuu zetu watakuja kuishi kwenye mazingira magumu kuliko haya.
Ni kweli,maana kuna watu wanajiona wao ndo wao
Ila ipo siku,mi nakupiga kura sijaenda nimeona ni upuuzi tuHawana aibu, wakifika kwa wazungu wanajichekesha kumbe wenzao wanaona mabwege tu. Wewe binadamu gani uibe kwenu kuwapelekea matajiri. Hasa huyu Mrisho huyu, hana aibu hata kidogo umbwa huyu
Viongozi wa kutuongoza kutekeleza haya, kuwapata ndio mtihani.