Kuiondoa CCM madarakani ni sawa na kupoteza muda

Ila ipo siku,mi nakupiga kura sijaenda nimeona ni upuuzi tu

Si unaona wakenya na wazambia, wamebadilisha vyama mara ngapi?
Sio mbaya kama watu wanataka kushangilia kidogo, lakini sio dawa ya matatizo yetu. Tunatakiwa tujue chanzo nini. Kwanini Tanzania hatuna kazi? Tufanye nini ili tutengeneze ajira? Nini kifanyike kuongeza kipato kwa kila familia?
 
Kuiondoa CCM ni sawa na kupoteza muda kwasababu chama kingine kitakachochukua nafasi ya kuongoza kiuchumi kitakuwa kina tumia mfumo huu wa sasa.

Sina elimu ya juu kama great thinkers wengi humu ndani, hiki ninachosema si biblia au msahafu, ni mawazo na msimamo wangu binafsi nilioamka nao leo

Nasema hivi kwasababu sioni kama bara letu la Afrika lina uhuru wa kujiamulia mambo yake. Sisi bado tunapangiwa kila kitu cha kufanya mpaka bei za mazao na rasilimali zetu.
Tumekaa tunapiga kelele kuhusu Mama Samia na CCM lakini wasomi wetu na wawakilishi wetu wote hawataki kusimama kwenye ukweli kwasababu wanazozijua.

Mfumo wa siasa na uchumi, si kwa Tanzania tu, wa bara letu la Afrika unasimamiwa na mataifa ya magharibi ndio maana nasema hata akija Mbowe madarakani nothing will change. Wote hawana kiburi mbele ya mzungu. Wote hawako kwa ajili ya Afrika. Hawapo kusimamia mitazamo ya wakina Mwalimu Nyerere, Thomas Sankara, Patrice Lumumba na wana wa Afrika wengine. Wako kifamilia zaidi kuliko bara letu tukufu. Wako kwa ajili ya kusujudia bwana zao kuliko kutetea mtu mweusi mzawa.
Kwa hili nina mifano mingi, lakini nisifanye gazeti liwe refu nitatoa kwenye comments.

Nini kifanyike? Walivyofanya GenZ wa Kenya kifanyike kwa Afrika nzima. We need revolution. Sio Ruto must go tu, Samia must go, Kagame must go, Haikande Hichilema must go, Filipe Nyusi must go na wengineo wote pamoja na system nzima waende tuanze upya. Otherwise tutakuwa masikini mpaka wajukuu na vitukuu watakuja kutulaumu.
I said.
Kupoteza muda ai ukombozi wa taifwa?
 
SAsa amka usingizini kuwapigia kula ndio kupoteza muda zaidi acha kuwa chawa na mpambe nuksi kwa mauzauza yao
 
Ila ipo siku,mi nakupiga kura sijaenda nimeona ni upuuzi tu

Si unaona wakenya na wazambia, wamebadilisha vyama mara ngapi?
Sio mbaya kama watu wanataka kushangilia kidogo, lakini sio dawa ya matatizo yetu. Tunatakiwa tujue chanzo nini. Kwanini Tanzania hatuna kazi? Tufanye nini ili tutengeneze ajira? Nini kifanyike kuongeza kipato kwa kila familia
 
SAsa amka usingizini kuwapigia kula ndio kupoteza muda zaidi acha kuwa chawa na mpambe nuksi kwa mauzauza yao

Unaniita chawa? Umeelewa nimesema nini hapo juu? Watu kama wewe ndio tunakuhitaji kukupa elimu ya ukombozi. Ukombozi wa bara letu kutoka mikononi mwa vibaraka wa wazungu
 
Ukombozi pekee utapatikana kwanza kwa kuweza kulitambua tatizo na kutafuta ufumbuzi wake na sii vinginevyo kutanguliza umimi,njaa na tumbo vinatupoteza na dira tusione wala ramani ya tutokapo wala tuendpo.
 
chama kipo madarakani miaka 60 halafu average ya kutoa ajira ni watu 10,000 hiko ni chama au upumbavu.

Hakutakuwa na ajira hapa Afrika kama tutaendelea kuwa na viongozi kama tulionao sasa. Hawa wapo kwa maslahi ya mabepari si yetu
 
Ukombozi pekee utapatikana kwanza kwa kuweza kulitambua tatizo na kutafuta ufumbuzi wake na sii vinginevyo kutanguliza umimi,njaa na tumbo vinatupoteza na dira tusione wala ramani ya tutokapo wala tuendpo.

Kasome tena pale namba moja, nimejaribu kuelezea kwanza haya ni mawazo yangu, nimejaribu kuelezea kwa upeo wangu chanzo cha matatizo na nimetoa ushauri kwa jinsi ninavyoona mimi nini kifanyike.
 
Nchi kama Uingereza kuendelea kututega kwa madeni mpaka leo ni kichekesho. Na hakuna kiongozi atakayekuja madarakani anayeweza kuwaambia ukweli kuhusu hilo ndio maana nasema ni kupotezeana muda tu. Siasa zetu ni za kusutana hakuna yeyote mwenye sera ninazielewa
 
Kuiondoa CCM ni sawa na kupoteza muda kwasababu chama kingine kitakachochukua nafasi ya kuongoza kiuchumi kitakuwa kina tumia mfumo huu wa sasa.

Sina elimu ya juu kama great thinkers wengi humu ndani, hiki ninachosema si biblia au msahafu, ni mawazo na msimamo wangu binafsi nilioamka nao leo

Nasema hivi kwasababu sioni kama bara letu la Afrika lina uhuru wa kujiamulia mambo yake. Sisi bado tunapangiwa kila kitu cha kufanya mpaka bei za mazao na rasilimali zetu.

Tumekaa tunapiga kelele kuhusu Mama Samia na CCM lakini wasomi wetu na wawakilishi wetu wote hawataki kusimama kwenye ukweli kwasababu wanazozijua.

Mfumo wa siasa na uchumi, si kwa Tanzania tu, wa bara letu la Afrika unasimamiwa na mataifa ya magharibi ndio maana nasema hata akija Mbowe madarakani nothing will change. Wote hawana kiburi mbele ya mzungu. Wote hawako kwa ajili ya Afrika.

Hawapo kusimamia mitazamo ya wakina Mwalimu Nyerere, Thomas Sankara, Patrice Lumumba na wana wa Afrika wengine. Wako kifamilia zaidi kuliko bara letu tukufu. Wako kwa ajili ya kusujudia bwana zao kuliko kutetea mtu mweusi mzawa.

Kwa hili nina mifano mingi, lakini nisifanye gazeti liwe refu nitatoa kwenye comments.

Nini kifanyike? Walivyofanya GenZ wa Kenya kifanyike kwa Afrika nzima. We need revolution. Sio Ruto must go tu, Samia must go, Kagame must go, Haikande Hichilema must go, Filipe Nyusi must go na wengineo wote pamoja na system nzima waende tuanze upya. Otherwise tutakuwa masikini mpaka wajukuu na vitukuu watakuja kutulaumu.
I said.
Njia nyingine ya kuiondoa ibuniwe maana kwa sanduku la kura ni ngumu maana wao ndio wachezaji na waamuzi wa mchezo. Polisi nao wamejiingiza kwenye Siasa kusaidia upande mmoja wa Chama cha Siasa.
 
Nguvu ya CCM inatokana na Backup ya jeshi la polisi. Ukiweza kuli defeat jeshi la polisi lika bow down then umeiweza CCM. Kinyume na hapo endeleeni na siasa za kiini macho huku mkipigwa risasi na kuibiana masanduku ya kura. Hakunaga maridhiano kwenye kinyang'anyiro cha madaraka.

Fill the Jigsaw Puzzle.
 
Kuiondoa CCM ni sawa na kupoteza muda kwasababu chama kingine kitakachochukua nafasi ya kuongoza kiuchumi kitakuwa kina tumia mfumo huu wa sasa.

Sina elimu ya juu kama great thinkers wengi humu ndani, hiki ninachosema si biblia au msahafu, ni mawazo na msimamo wangu binafsi nilioamka nao leo

Nasema hivi kwasababu sioni kama bara letu la Afrika lina uhuru wa kujiamulia mambo yake. Sisi bado tunapangiwa kila kitu cha kufanya mpaka bei za mazao na rasilimali zetu.

Tumekaa tunapiga kelele kuhusu Mama Samia na CCM lakini wasomi wetu na wawakilishi wetu wote hawataki kusimama kwenye ukweli kwasababu wanazozijua.

Mfumo wa siasa na uchumi, si kwa Tanzania tu, wa bara letu la Afrika unasimamiwa na mataifa ya magharibi ndio maana nasema hata akija Mbowe madarakani nothing will change. Wote hawana kiburi mbele ya mzungu. Wote hawako kwa ajili ya Afrika.

Hawapo kusimamia mitazamo ya wakina Mwalimu Nyerere, Thomas Sankara, Patrice Lumumba na wana wa Afrika wengine. Wako kifamilia zaidi kuliko bara letu tukufu. Wako kwa ajili ya kusujudia bwana zao kuliko kutetea mtu mweusi mzawa.

Kwa hili nina mifano mingi, lakini nisifanye gazeti liwe refu nitatoa kwenye comments.

Nini kifanyike? Walivyofanya GenZ wa Kenya kifanyike kwa Afrika nzima. We need revolution. Sio Ruto must go tu, Samia must go, Kagame must go, Haikande Hichilema must go, Filipe Nyusi must go na wengineo wote pamoja na system nzima waende tuanze upya. Otherwise tutakuwa masikini mpaka wajukuu na vitukuu watakuja kutulaumu.
I said.
CCM itaondoka tu tena haya wanayoyafanya ndio yatawaondoa.
 
Tuiondoe CCM kwani imefanya nini kibaya mpaka tufikie huko? Tujenge nchi yetu tuache majungu
 
Sio maandamano, ni mapinduzi ya kuchukua bara letu tuamue mambo yetu wenyewe bila kupangiwa na wazungu.
Hizi ni ndoto nzuri za mwafrika aliyezungukwa na njaa kali, mzungu anapokuja mbugani ni furaha kwa sekta nzima ya utalii.

Viwanja vya ndege vinapozidi kukarabatiwa lengo ni kuwabeba hao watalii na kupata pesa zao.

Ni ndoto nzuri lakini kuna ugumu katika kuzitekeleza.
 
Back
Top Bottom