Kuiondoa CCM madarakani ni sawa na kupoteza muda

Kuiondoa CCM madarakani ni sawa na kupoteza muda

Nitasema kila siku tatizo la Mwafrika siyo wazungu ,tatizo la Africa ni sisi kwa sisi kuanzia matendo na mawazo yetu
 
Huna akili wewe tatizo la muafrica ni muafrica Wala usitake kuwaingiza wazungu ubongo wako haupo timamu jitu linalolaumu wazungu karne hii ni chizi
 
Tuiondoe CCM kwani imefanya nini kibaya mpaka tufikie huko? Tujenge nchi yetu tuache majungu
Kaka mijitu mijinga lkn inataka iyonekane akili kubwa. Ikiwa ww mzima na afya nzuli y akili vip tuwaamini wapinzani ikiwa ndani ya upinzani kwenyewe akitoi nafasi ya upinzani!!! Msingi wa upinzani lazima ujengwe ndani ya chama uhuru wawanachama wawe huru kugombeya nafasi mbalimbali ndani ya chama. chama kiwe wazi sana sana,,, . Chama cha siasa kikiwa sio tena cha wananchi ni cha kikundi cha watu frani wakali sn inapofika wkt mtu ndani chama anataka kutumia Demokrasia yachama kuomba ridhaa yawanachama ya kuchaguliwa wao awataki!! wanaona fezea wao kupingwa lkn katiba zote za viama vyasiasa zinafanana azimpi mtu ukuu wowote ndani ya chama baada y kumaliza tem yake. Kwamaana yeye aliekuwa nanafasi ile ile na uyu akuwai kuchaguliwa wote wapo sawa akuna aliejuu ya mwenzie. Makosa makubwa kudhani wananchi ni wajinga awana tafakuli ya kuamua mustakbali wao ama awajui neema iliopo kwenye Demokwasia faida zake faida za uwazi ndani ya chama. Kama Tunakubaliana CCM imechoka kwasasa sio akitufai lkn bado aiwi sababu ya mwananchi kuchagua upinzani upinzani uliokosa afya. Tena umekosa afya kwakujiendekeza tu. Umimi kupandisha mabega juuu. So upinzani wakweli bado watu awajauona..
 
D
Baada ya maandamano nani anakalia kikitidu

Ni rahisi kuliko tunavyofikiria, kitu cha kufanya sasa hivi tuwape wenzetu elimu, hata kama sio wao lakini ipo siku watoto au wajukuu zao wataelewa. Tusikate tamaa mpaka Afrika irudi mikononi mwa wazawa, la sivyo wajukuu zetu watakuja kuishi kwenye mazingira magumu kuliko haya.
The only a point ro perish A giant CCM is a process of successive generation
 
Tuiondoe CCM kwani imefanya nini kibaya mpaka tufikie huko? Tujenge nchi yetu tuache majungu

Huwezi kujenga nchi wakati wananchi hawana kazi. Rasirimali na vitendea kazi vyote wanawapa wazungu wao wanapewa paper money wananunua pombe, maendeleo yatakuja vipi? Embu tuambie
 
Back
Top Bottom