Ila ipo siku,mi nakupiga kura sijaenda nimeona ni upuuzi tu
Kupoteza muda ai ukombozi wa taifwa?Kuiondoa CCM ni sawa na kupoteza muda kwasababu chama kingine kitakachochukua nafasi ya kuongoza kiuchumi kitakuwa kina tumia mfumo huu wa sasa.
Sina elimu ya juu kama great thinkers wengi humu ndani, hiki ninachosema si biblia au msahafu, ni mawazo na msimamo wangu binafsi nilioamka nao leo
Nasema hivi kwasababu sioni kama bara letu la Afrika lina uhuru wa kujiamulia mambo yake. Sisi bado tunapangiwa kila kitu cha kufanya mpaka bei za mazao na rasilimali zetu.
Tumekaa tunapiga kelele kuhusu Mama Samia na CCM lakini wasomi wetu na wawakilishi wetu wote hawataki kusimama kwenye ukweli kwasababu wanazozijua.
Mfumo wa siasa na uchumi, si kwa Tanzania tu, wa bara letu la Afrika unasimamiwa na mataifa ya magharibi ndio maana nasema hata akija Mbowe madarakani nothing will change. Wote hawana kiburi mbele ya mzungu. Wote hawako kwa ajili ya Afrika. Hawapo kusimamia mitazamo ya wakina Mwalimu Nyerere, Thomas Sankara, Patrice Lumumba na wana wa Afrika wengine. Wako kifamilia zaidi kuliko bara letu tukufu. Wako kwa ajili ya kusujudia bwana zao kuliko kutetea mtu mweusi mzawa.
Kwa hili nina mifano mingi, lakini nisifanye gazeti liwe refu nitatoa kwenye comments.
Nini kifanyike? Walivyofanya GenZ wa Kenya kifanyike kwa Afrika nzima. We need revolution. Sio Ruto must go tu, Samia must go, Kagame must go, Haikande Hichilema must go, Filipe Nyusi must go na wengineo wote pamoja na system nzima waende tuanze upya. Otherwise tutakuwa masikini mpaka wajukuu na vitukuu watakuja kutulaumu.
I said.
SAsa amka usingizini kuwapigia kula ndio kupoteza muda zaidi acha kuwa chawa na mpambe nuksi kwa mauzauza yaoKuiondoa CCM ni sawa na kupoteza muda kwasababu chama kingine kitakachochukua nafasi ya kuongoza kiuchumi kitakuwa kina tumia mfumo huu wa sasa.
Sina elimu ya juu kama great thinkers wengi humu ndani, hiki ninachosema si biblia au msahafu, ni mawazo na msimamo wangu binafsi nilioamka nao leo
Nasema hivi kwasababu sioni kama bara letu la Afrika lina uhuru wa kujiamulia mambo yake. Sisi bado tunapangiwa kila kitu cha kufanya mpaka bei za mazao na rasilimali zetu.
Tumekaa tunapiga kelele kuhusu Mama Samia na CCM lakini wasomi wetu na wawakilishi wetu wote hawataki kusimama kwenye ukweli kwasababu wanazozijua.
Mfumo wa siasa na uchumi, si kwa Tanzania tu, wa bara letu la Afrika unasimamiwa na mataifa ya magharibi ndio maana nasema hata akija Mbowe madarakani nothing will change. Wote hawana kiburi mbele ya mzungu. Wote hawako kwa ajili ya Afrika. Hawapo kusimamia mitazamo ya wakina Mwalimu Nyerere, Thomas Sankara, Patrice Lumumba na wana wa Afrika wengine. Wako kifamilia zaidi kuliko bara letu tukufu. Wako kwa ajili ya kusujudia bwana zao kuliko kutetea mtu mweusi mzawa.
Kwa hili nina mifano mingi, lakini nisifanye gazeti liwe refu nitatoa kwenye comments.
Nini kifanyike? Walivyofanya GenZ wa Kenya kifanyike kwa Afrika nzima. We need revolution. Sio Ruto must go tu, Samia must go, Kagame must go, Haikande Hichilema must go, Filipe Nyusi must go na wengineo wote pamoja na system nzima waende tuanze upya. Otherwise tutakuwa masikini mpaka wajukuu na vitukuu watakuja kutulaumu.
I said.
Majizi
Ila ipo siku,mi nakupiga kura sijaenda nimeona ni upuuzi tu
SAsa amka usingizini kuwapigia kula ndio kupoteza muda zaidi acha kuwa chawa na mpambe nuksi kwa mauzauza yao
Ukombozi pekee utapatikana kwanza kwa kuweza kulitambua tatizo na kutafuta ufumbuzi wake na sii vinginevyo kutanguliza umimi,njaa na tumbo vinatupoteza na dira tusione wala ramani ya tutokapo wala tuendpo.Unaniita chawa? Umeelewa nimesema nini hapo juu? Watu kama wewe ndio tunakuhitaji kukupa elimu ya ukombozi. Ukombozi wa bara letu kutoka mikononi mwa vibaraka wa wazungu
Ukombozi pekee utapatikana kwanza kwa kuweza kulitambua tatizo na kutafuta ufumbuzi wake na sii vinginevyo kutanguliza umimi,njaa na tumbo vinatupoteza na dira tusione wala ramani ya tutokapo wala tuendpo.
Njia nyingine ya kuiondoa ibuniwe maana kwa sanduku la kura ni ngumu maana wao ndio wachezaji na waamuzi wa mchezo. Polisi nao wamejiingiza kwenye Siasa kusaidia upande mmoja wa Chama cha Siasa.Kuiondoa CCM ni sawa na kupoteza muda kwasababu chama kingine kitakachochukua nafasi ya kuongoza kiuchumi kitakuwa kina tumia mfumo huu wa sasa.
Sina elimu ya juu kama great thinkers wengi humu ndani, hiki ninachosema si biblia au msahafu, ni mawazo na msimamo wangu binafsi nilioamka nao leo
Nasema hivi kwasababu sioni kama bara letu la Afrika lina uhuru wa kujiamulia mambo yake. Sisi bado tunapangiwa kila kitu cha kufanya mpaka bei za mazao na rasilimali zetu.
Tumekaa tunapiga kelele kuhusu Mama Samia na CCM lakini wasomi wetu na wawakilishi wetu wote hawataki kusimama kwenye ukweli kwasababu wanazozijua.
Mfumo wa siasa na uchumi, si kwa Tanzania tu, wa bara letu la Afrika unasimamiwa na mataifa ya magharibi ndio maana nasema hata akija Mbowe madarakani nothing will change. Wote hawana kiburi mbele ya mzungu. Wote hawako kwa ajili ya Afrika.
Hawapo kusimamia mitazamo ya wakina Mwalimu Nyerere, Thomas Sankara, Patrice Lumumba na wana wa Afrika wengine. Wako kifamilia zaidi kuliko bara letu tukufu. Wako kwa ajili ya kusujudia bwana zao kuliko kutetea mtu mweusi mzawa.
Kwa hili nina mifano mingi, lakini nisifanye gazeti liwe refu nitatoa kwenye comments.
Nini kifanyike? Walivyofanya GenZ wa Kenya kifanyike kwa Afrika nzima. We need revolution. Sio Ruto must go tu, Samia must go, Kagame must go, Haikande Hichilema must go, Filipe Nyusi must go na wengineo wote pamoja na system nzima waende tuanze upya. Otherwise tutakuwa masikini mpaka wajukuu na vitukuu watakuja kutulaumu.
I said.
Hiyo green bossRangi gani mwamba?
CCM itaondoka tu tena haya wanayoyafanya ndio yatawaondoa.Kuiondoa CCM ni sawa na kupoteza muda kwasababu chama kingine kitakachochukua nafasi ya kuongoza kiuchumi kitakuwa kina tumia mfumo huu wa sasa.
Sina elimu ya juu kama great thinkers wengi humu ndani, hiki ninachosema si biblia au msahafu, ni mawazo na msimamo wangu binafsi nilioamka nao leo
Nasema hivi kwasababu sioni kama bara letu la Afrika lina uhuru wa kujiamulia mambo yake. Sisi bado tunapangiwa kila kitu cha kufanya mpaka bei za mazao na rasilimali zetu.
Tumekaa tunapiga kelele kuhusu Mama Samia na CCM lakini wasomi wetu na wawakilishi wetu wote hawataki kusimama kwenye ukweli kwasababu wanazozijua.
Mfumo wa siasa na uchumi, si kwa Tanzania tu, wa bara letu la Afrika unasimamiwa na mataifa ya magharibi ndio maana nasema hata akija Mbowe madarakani nothing will change. Wote hawana kiburi mbele ya mzungu. Wote hawako kwa ajili ya Afrika.
Hawapo kusimamia mitazamo ya wakina Mwalimu Nyerere, Thomas Sankara, Patrice Lumumba na wana wa Afrika wengine. Wako kifamilia zaidi kuliko bara letu tukufu. Wako kwa ajili ya kusujudia bwana zao kuliko kutetea mtu mweusi mzawa.
Kwa hili nina mifano mingi, lakini nisifanye gazeti liwe refu nitatoa kwenye comments.
Nini kifanyike? Walivyofanya GenZ wa Kenya kifanyike kwa Afrika nzima. We need revolution. Sio Ruto must go tu, Samia must go, Kagame must go, Haikande Hichilema must go, Filipe Nyusi must go na wengineo wote pamoja na system nzima waende tuanze upya. Otherwise tutakuwa masikini mpaka wajukuu na vitukuu watakuja kutulaumu.
I said.
Hizi ni ndoto nzuri za mwafrika aliyezungukwa na njaa kali, mzungu anapokuja mbugani ni furaha kwa sekta nzima ya utalii.Sio maandamano, ni mapinduzi ya kuchukua bara letu tuamue mambo yetu wenyewe bila kupangiwa na wazungu.