Kuishi na majirani kibongo bongo inahitaji uwe na moyo wa uvumilivu sana, haina tofauti na maisha ya ndoa

Kuishi na majirani kibongo bongo inahitaji uwe na moyo wa uvumilivu sana, haina tofauti na maisha ya ndoa

Nimenunua jembe la kwanza wamechukua,nimenunua la pili nalo wamechukua,fyekeo wamechukua,ngazi yangu pendwa wamechukua,nyundo wamechukua ukimwambia mtu rudisha anapotezea ila chanzo ni wake zetu. Ujirani kazi.
Wata mchukua na mkeo sasa endelea kushangaa tu
 
Hayo mazoea siyatakagi kabisa zaidi ya salamu na jirani hakuna mazungumzo mengine
 
Huu sasa ni zaidi ya uswazi, siwezi isi nyumba yenye wapangaji zaidi ya 3, na hapo nikute wote waondoka asubuhi, kurudi jioni.

Vinginevyo sikai hapo.
NILISHAWAHI ISHI WAPANGAJI SHAZI .....SIE MABACHELOR TUKIINGIZA WAREMBO WA KUTIA ...MAJIRANI WANAJIWEKA PALE NJE KUSIKILIZIA MITOMBO NA MIGUNO MPAKA UNAONA AIBU
 
Hahahahahhaahahahahah. Bado zile za kukuta wamama , wamekaa nje ya mlango wako wanasuburia utoke nje ............ile Jana yake wamekuona unaingiza mrembo wa kumtia...😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Nikiwa bachela enzi hizo nilirudi na dem usiku, kumbe wapangaji wenzangu wa kike wamejua. Ile swala swala kuna mmoja katoka anafagia uwanja. Kufika kumi na mbili kasoro, wote wako barazani wanasubiri nimtoe.
Nikasema hawa hawanijui vizuri. Siku nyingine nikaja na binti wa kimakonde, usisikie kwa mtu, wanawake wa kimakonde wanaijua shughuli kisha wanajua kulalamika na kulia ikishaingia. Full makelele mpaka asubuhi. Asubuhi wakasubiri sana wamuone chiriku wangu, chiriku akasema hapa natoka saa nne, acha wasubiri.
 
Back
Top Bottom