cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Poa poaaOk thank you sis
Poa poaaOk thank you sis
Aaaah jambo zuri cocaNyumbani na Dar.
SawaaAaaah jambo zuri coca
Nasubiri 😅😅Hiyo iko wazi.
Nitakutag.
Jamaa anaandaa part two.Nasubiri 😅😅
Yaani ni full harakati. Mchana hakunaga kupumzika. Ukisema usinzie kidogo tu watoto washapayuka dirishani kwako unaamka. Yani hatari kabisa.Kheeeh unawezajee? Lol
😂😂😂😂 hatarii tupuu.Yaani ni full harakati. Mchana hakunaga kupumzika. Ukisema usinzie kidogo tu watoto washapayuka dirishani kwako unaamka. Yani hatari kabisa.