Kuishi na majirani kibongo bongo inahitaji uwe na moyo wa uvumilivu sana, haina tofauti na maisha ya ndoa

Kuishi na majirani kibongo bongo inahitaji uwe na moyo wa uvumilivu sana, haina tofauti na maisha ya ndoa

Nikiwa bachela enzi hizo nilirudi na dem usiku, kumbe wapangaji wenzangu wa kike wamejua. Ile swala swala kuna mmoja katoka anafagia uwanja. Kufika kumi na mbili kasoro, wote wako barazani wanasubiri nimtoe.
Nikasema hawa hawanijui vizuri. Siku nyingine nikaja na binti wa kimakonde, usisikie kwa mtu, wanawake wa kimakonde wanaijua shughuli kisha wanajua kulalamika na kulia ikishaingia. Full makelele mpaka asubuhi. Asubuhi wakasubiri sana wamuone chiriku wangu, chiriku akasema hapa natoka saa nne, acha wasubiri.
Hii story itaendelea saa ngapi maana hata mimi na Binti Sayunii tunaisubiri kwa hamu na gamu kama wapangaji walivyosubiri.

Ukileta part two basi ututag.
Tuko chini ya miguu yako mkuu 😎.
 
Back
Top Bottom