Kuishi na majirani yataka moyo

Kuishi na majirani yataka moyo

Funga mita Yako kutoka tanesco,mara zote vitu vya kuchangia vinakera sana,kama huna subra unaweza kugombana na watu bila sababu ya msingi,mwingine akijuwa kwako Kuna vifaa vingi vya umeme atajifanya yeye Hana ela ya kulipa umeke ili mradi TU usitumie vifaa vya umeme.
 
Mkuu kununua mita bei yake imeenda kidogo..
Ila kuna mpangaji hapa kasema kuwa itakua kuna sehemu umeme unavuja.

Hvi mkuu umeme unaweza kuvuja kweli et
 
Back
Top Bottom