Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

kwa mtindo huo sidhani kama utaolewa au kudumu kwenye ndoa mwanamke unakuwa mbabe ????
 
Wanaume wenye vifua wanapagawisha Sana aisee
 
mmke ni kama mtoto mdgo kuna vitu anaweza fanya akahic ni sahh ila akAkuboa sana me mke wangu anapenda kuunguza vitu akipika maandaz chapati vitunguh ni lazma aunguze hata umuelekeze vp yaani ana vikero vidgo vidogo ila navujmmmilia
 
Ukioa msichana jiandae kuumia milele na ujue ndoa yako itakuwa daraja la ww kwenda motoni maana ndani yake mtajaa machukizo kwa Mola wako,ipo tofauti ya msichana na mwanamke,mwanamke anajua wajibu na mpaka wake,ubinadamu ni kukosea lkn ole wako ukae na mwanamke mwenye makusudi,binafsi nimeamua kuacha wa kwangu aende na kasi ya upepo wa dunia unavovuma,nimeamua kukaa na watoto wangu kuwaepusha na kelele na matusi na vituko vya kila siku vya makusudi,
Km mke ama mume hakufanyi uwe na amani na akusaidie kumtumikia Mungu wa nn sasa huyo maana tunaishia Leo kwa ajili ya baadae yetu,aisee nimepumua sana sikutegemea km kuishi na wanangu tu kutanipa furaha ila sasa nna amani nna furaha na nnapanga mipango inaoangika
Www.stressfreezone
 
Huyu aliyeanzisha kutoa vyet vya ndoa kabla ya kuingia kwenye field ya ndoa alikosea saana!! Maana ndoa za sikuhizii majanga sana..hapo uko na six years changamoto..utafika 20years kweli??
 
Mkuu wa kwangu hatofautian na aTrump..ni mwendo wa kutumia nguvu kama vile tupo kule Alepo Syria na zaidi silaha yake ni lile dawati la jinsia
 
Kuoa ni kuongoza serikali iliyo kamili. Unapaswa kuwa na busara za kutosha.
 
Watanzania kwa KUJAZANA HOFU tupo juu!, yaani si watumishi wa Mungu si wapagani, kila mtu ni mwalimu wa KUJAZA WENZIE HOFU!!!!....Mungu anawaona nyie watu, mm nataka kuoa kabla mwaka huu kuisha na moto sitauona!!!
 
Watanzania kwa KUJAZANA HOFU tupo juu!, yaani si watumishi wa Mungu si wapagani, kila mtu ni mwalimu wa KUJAZA WENZIE HOFU!!!!....Mungu anawaona nyie watu, mm nataka kuoa kabla mwaka huu kuisha na moto sitauona!!!
Hakuna aliyekukataza ndugu, we oa tu huko machame. Wakat unachezea kipondo ndo utakumbuka maneno haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…