Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

kuna mdada namfahamu hata chupi zake za period anafua dada . sometimes huwa sijutii kutokuolewa naona bora nijifunze kwanza kuliko nikawe mtu wa mateso kwa mwenzangu.
mwanamke hapiki,hafui, hafanyi chochote kwa mumewe si uendawazimu huu!
 
kuna mdada namfahamu hata chupi zake za period anafua dada . sometimes huwa sijutii kutokuolewa naona bora nijifunze kwanza kuliko nikawe mtu wa mateso kwa mwenzangu.
mwanamke hapiki,hafui, hafanyi chochote kwa mumewe si uendawazimu huu!
Vipi ile to hell with men imeisha!!
 
nawakubali wavaa kobazi kwenye maeneo yafuatayo;
1. Kuoa wake wanne,
2. Harusi zao very simple (bajeti haizidi 50,000/=, chai na maandazi),
3. Kuzika (hawana mbwembwe za mijeneza, na sijui mi-tshirt mara video n.k.
 
Dah...."Demokrasia " ndiyo chanzo kikuu cha kuleta ugumu ndoani...Ukitaka kuoa na ndoa ya "kijeshi"[emoji13]
 
Vijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Wanyakyusa na wamachame!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jihadhari na...
wanawake wanaoamini ktk uzuri wao,kuliko tabia zao...[emoji615]
usimpe mimba ya mtoto mwanamke kabla ya kumpa mimba ya fikra zenye kuzaa ustawi wa maendeleo ya kifamilia..[emoji615] ..
tafakari hayo machache kabla ya ndoa....
 
Chini mlima mrefu au pembeni ya mto kyela
 
Acha kulisha wenzako matangopori, utawafanya waharibu ndoa zao, acha waishi maisha yanayowafaa wao, Kama umempata wa kumburuza we mburuze tu unavoweza
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahh ulijipatia mkibosho wa machamee..
"joto la jiwe analijua mjusi" hongera mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ss jaman nyote mnataka watu wabaki njia kuu na michepuko tutaishije
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…