Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
mume wangu ataenjoy sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahaaaaaUkishindwa kuishi na mke tafuta mume wa kuishi nae
Kumbe na wewe unawaza kuolewa?mume wangu ataenjoy sana
Vipi ile to hell with men imeisha!!kuna mdada namfahamu hata chupi zake za period anafua dada . sometimes huwa sijutii kutokuolewa naona bora nijifunze kwanza kuliko nikawe mtu wa mateso kwa mwenzangu.
mwanamke hapiki,hafui, hafanyi chochote kwa mumewe si uendawazimu huu!
Watu wafukunyuku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vipi ile to hell with men imeisha!!
Wanyakyusa na wamachame!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Chini mlima mrefu au pembeni ya mto kyelahebu mtupishe, kuna watu wanavumilia kwenye ndoa kama wanawake? tena sio kumvumilia mume tu, unamvumilia mume, wakwe, mawifi na mashemji, tatizo lenu wanaume mnapenda kuabudiwa na hizo zama za mama zetu na bibi zetu zilishapita na wao walikuwa na haki ya kuwanyeyekea sababu walikuwa wanakaa tu nyumbani kazi kuu ni kuzaa na kulea na kumuhudumia mume, sasahv nimwendo wa sawa kwa sawa, haiwezekani wote tunatoka asubuhi kila siku tunarudi wote jioni mwisho wa mwenzi wote tunaleta mezani mishahara, alafu utake kujifanya mfalme wa nyumba. Maisha ya sasa ni kusikilizana na kuelewana kiustaarabu tu nyumba itaenda ila ukileta ubabe kweli ndoa utaiona chungu
Kwani kuna wanaume wanaulizaga vipato vya wake zao???Msianze kuuliza vipato vyetu pia .
Acha kulisha wenzako matangopori, utawafanya waharibu ndoa zao, acha waishi maisha yanayowafaa wao, Kama umempata wa kumburuza we mburuze tu unavowezahebu mtupishe, kuna watu wanavumilia kwenye ndoa kama wanawake? tena sio kumvumilia mume tu, unamvumilia mume, wakwe, mawifi na mashemji, tatizo lenu wanaume mnapenda kuabudiwa na hizo zama za mama zetu na bibi zetu zilishapita na wao walikuwa na haki ya kuwanyeyekea sababu walikuwa wanakaa tu nyumbani kazi kuu ni kuzaa na kulea na kumuhudumia mume, sasahv nimwendo wa sawa kwa sawa, haiwezekani wote tunatoka asubuhi kila siku tunarudi wote jioni mwisho wa mwenzi wote tunaleta mezani mishahara, alafu utake kujifanya mfalme wa nyumba. Maisha ya sasa ni kusikilizana na kuelewana kiustaarabu tu nyumba itaenda ila ukileta ubabe kweli ndoa utaiona chungu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahh ulijipatia mkibosho wa machamee..
"joto la jiwe analijua mjusi" hongera mkuu
Ss jaman nyote mnataka watu wabaki njia kuu na michepuko tutaishijeSidhani kama umemuoa ili anapokukosea ukae kimya. Inatakiwa tujifunze kwa ndoa za wazazi wetu ambazo nyingi zimedumu kwa miaka mingi ikiwa wewe una miaka 06 kwenye ndoa unasema umeamua kumpotezea.
Huko ni kutaka kutengeneza sumu ambayo baadae ina madhara makubwa solution sio kukaa kimya ni kutafuta njia za kumbadilisha na awe unayemtaka kwani ukiangalia umeshazaa naye hata ukisema labda utatafuta mwingine bado athari ipo.
Hujachelewa miaka 06 sio mingi japo upeo wake ni wa chini na msahaulifu nina imani ukienda nae taratibu hata kama hatabadilika kwa 100% kwa kiasi fulani atajirekebisha.