Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Mimi ukinitafutia mwenzangu na mm natafuta mwenzio ngoja droo
Kushindana na mwanamme mwanamke utaumia tu bora uwe mpole, umtafute mme mwingine nikugundue ni kichapo then kwenuu afu naoa huyo mwenzio kabisa na ww kuolewa na huyo ulomtafuta ukiwa kwenye ndoa sahau labda awe chiz coz wanamme wengi wanaotoka na wake za watu huwa ni uharibifu tu hawana mpango!
Wanawake nawaonea huruma sana mnaposhindana kujibebesha majukumu ambayo Mungu alishaona hayawafai!
 
Duh huyu mke kweli mmeo kapata
 
Vijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Haaaa haaaa dah na mimi nimefunga na huyo wa pembeni mwa mlima mrefu.Tuna miaka 14 sasa na watoto 4.Tunaenda vizuri mikwaruzano huwa haikosi ila tulipata "Shule ya nguvu" ya ndoa pale Msimbazi centre/center Mleta mada upo sahihi bila kuvumiliana ndoa ni ngumu.Unaishi na mtu ambaye hamjazaliwa na kulelewa pamoja.....
 
kwel bhana ukimpata anae kupenda hawezi fanya yote haya.
 
Wengine wakishalishwa maneno ya nje hata hawasikii Dawa ni kukaa kimya
 
Wameshindwa kutambua kwanini tuliumbwa kwa jinsia tofauti. Mwanaume atabaki mwanaume tu





Paaa
 
Kuna jamaa yangu huyo anamzuka wa kuwahi kuoa huyo. Ngoja nimsubiri awahi kwqnza nijifunze kitu
 
Waoaji wanaoenjoy kwenye ndoa mwisho ilikuwa karne ya 20 (1999). Kuanzia karne ya 21 (2000) hao wanachokipata anajua Mungu

tatizo wa aina unayowataja ni wale wanaooa kwa lengo la kukomoa marafiki ,showoff na yeye aonekane ameoa kuwakomesha ambao hawajaoa , hasa akijua wew ni mkubwa kwake na wew hujaoa .
 
Kazi si mchezo kuoa kwa mkumbo, ukifurahia kwaito na zawadi za plastiki.
 
kuwaelewa wanawake kunataka uwe zoba.
1. Ukiwa mtu malavi davi atakuambia Tafuta pesa, hom hapa hatuli hayo malavidavi yako.
2. Ukiwa mtu wa kutafuta pesa sana atakuambia ooh mimi nataka mtu wa kuwa karibu yangu muda ninaomtaka. Daah nashindwa kuelewa.
 
Kama ni head ache si uachana nae, kwani umelazimishwa, ukiona hauna peace of mind, unacahapa tu lapa, why ujitese mkuu kwa mtoto wa mwenzako?
Mawazo ya vijiweni hayo,kwanini usimwambie atafute ufumbuzi,wewe unashauri aachane,unadhani hatma ya watoto ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…