Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Acha kutisha Watu utafikiri wakioa wataoa mke wako .Kama umezoa kimeo wewe pambambana nalo hilo Ni lako kimuemue Cha Moyo wako Acha. Kuwatisha Watu hapa.
Halafu wengi hawana akili hata ya kuishi na mke, lakini walalamishi mke hajitambui muulize wewe unafanya nini mke akifanya sivyo, wengi hususa na kununa kama Bibi zao wazaa Baba zao, na utakuta kijitu kimejaa midevu uso mzima lakini kimemnunia mkewe, sasa hapo mke ataacha kumuona ng'ombe tu, ndoa nyingi wanawake ndiyo wanabembeleza mme kanuna [emoji18][emoji18][emoji18] kama punguani, mie huona nikukosa malezi ya Baba na mama
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwa hiyo unawatupia madongo single mothers.usifanye hivyo tafadhali [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wanaume wa hivyo niwachache sana , wengi na wao nikama wamama wauswazi kujibizana ananuna na kususa chakula [emoji3][emoji3] mwanaume analala bila kula haaa haaa wanawake huwa wanacheka kimoyo moyo kweli nakuwazarau kweli hawasemi tu, halafu ukute na huko 6*6 ni shida tupu, unazani mwanamke atafanya nini zaidi ya kelele!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwa hiyo unawatupia madongo single mothers.usifanye hivyo tafadhali [emoji3][emoji3][emoji3]
Wala sina ugomvi na single mother [emoji3][emoji3] wapambane tu kulea watoto wao vizuri
 
tupe mrejesho
 
aisee naona watu mnatema nyongo tu[emoji3][emoji3]
 
mzee bado upo kwenye ndoa?
 
ukimpa lift anataka apige na honi[emoji3][emoji3]
 
Mimi nadhani kuishi pamoja kama mume na mke ndo kunahitaji uvumilivu.

Wote mvumiliane na sio uvumilivu uwe wa upande mmoja tu.

Kumwona mwenzio ndiye mwenye mapungufu na wewe kujiona uko timilifu nayo ni mapungufu.
Sidhani kama alikuwa namaana yy nimkamilifu ila wanawake wamezidi halafu nimambo madogomadogo tu shida nihata majibu ukiuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…