Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Nachukia pale mwanamke anapoleta ushindani ndani ya nyumba.

Ukiona mkeo unapomuuliza kitu hususani kama kakosea anakujibu kwa kuanza na sentence hii"Mbona na wewe....

Hapo ndoa haina muda mrefu itavunjika tena kwa uhasama kwa sababu alishaanza vita ya chini chini.
 
Ni mwanamke mpuuzi tu ndio ataona ufahari kumchamba mumewe! Unaanzaje kufanya mambo ya hovyo namna hio!?
 
Dawa yake unaanza kumuandala talaka mapema ili siku akileta fyokofyoko unamchomolea tu 😂😂😂😂😅
 
Sifikirii kuoa wala sidhan kama ntakuja kuoa😂😂😂 wacha niendeleee kuwapelekea moto
 
Kwenye ndoa wote wanawake na wanaume wanashindwa kuelewana tabia na ndo migogoro huanzia hapo!kuna watu wako vizuri mno in speaking their minds,sasa ukikutana na mtu ambae si mwongezi ndo hapo utasikia oh mke wangu anaongea mno na mwisho wa siku unaanza kumkwepa kumbe ulipaswa tu uelewa tabia yake na umchukulie alivyo!
Na hii ni kwa wote,wanawake lazima waelewe waume zao na waume lazima waelewe wake zao kwa hakika ndoa zitadumu tu!
 
Ni mwanamke mpuuzi tu ndio ataona ufahari kumchamba mumewe! Unaanzaje kufanya mambo ya hovyo namna hio!?
Soma vizuri basi, hivi mme anayewajibika huwa anadharauliwa ? Basi mke huyo anakuwa na matatizo yake, sikia nijuavyo mie Mme haongei mara mbili 2 akiongea ya kwanza ya pili kamaliza ni maagizo tayari

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kwa style hio ya kubishana kuna maagizo au kichapo tu kitafata! Saingine nyumba zinakuwa ngumu kukiwa na watu wa aina hii!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndoa ya ngumi mkononi daa hapana kwakweli

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Mwanamume wako unaanza tena kubishana nae kama shoga yako! Huo ujinga anauweza McGarab tu na tamthilia yao ile ambayo Coletha anamuendesha kama gari bovu! Wanamuita Mrs.Michael kitu kama hicho
 
Mwanamume wako unaanza tena kubishana nae kama shoga yako! Huo ujinga anauweza McGarab tu na tamthilia yao ile ambayo Coletha anamuendesha kama gari bovu! Wanamuita Mrs.Michael kitu kama hicho
Wengi kinachowambua pale mwanzo wanapo oana ndipo hukosea mazoea yasiokuwa na maana [emoji3][emoji3], Mary (Coletha) na Michael michepuko ya Michael ndiyo sababu ya kuyumbisha ndoa yake, mbona humsemi Tomas ? Naye ni mkewe ndiyo sababu!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Michepuko itakosekana vipi kama hata muda wa story hamna ni pyeeee...peppeepe....rrrrrhhhaaaaa....braaa...yuuhuuugggggaananann!$&@&!

Hapo umetoka mihangaikoni ndio unafikia mazingira hayo utajisikiaje! Halafu kumbe kuna mtoto Queen yupo zake mahali ametulia zake hana baya! Anakuwa rafiki anakupa utulivu wa hali ya juu nani asiependa kula pazuri???
 
Hapo ndipo shida inapoanzia sasa ukichoka na michepuko unataka kukaa vizuri, mke naye moyo wake ndiyo ulishatibuka kuurudisha ndiyo gharama!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hapo ndipo shida inapoanzia sasa ukichoka na michepuko unataka kukaa vizuri, mke naye moyo wake ndiyo ulishatibuka kuurudisha ndiyo gharama!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Tunaachana, thats a bye bye ticket mbona! Yani mie nichoke kinachonipa amani na furaha? Uliona wapi mtu kachoka amani na furaha?

Kwa mwanamke mwenye hekima atajutia upumbavu aliofanya na atabadilika akiona umemuhama tena atahaha kweli kweli! Ila mshenzi ataona ndio ticket na ya yeye kwenda kuchepuka nje ya mji wake!
 
Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…