Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kijana kama hauna AKILI nakushauri usioe, ukikosea Kuoa jiandae kisakolojia kama hujaenda jela basi utakufa mapema.. simple and clear.
 
Wote wapo. Wasumbufu na wanyoofu wote ni wa Mungu. Unachobahatika kupata ndio chako ulichojaaliwa. Pambana nacho!!
 
Ulumuokota Bar huyo mwanamke?
 
Kosea gari maana unaweza ukaiuza ukanunua gari nyingine,kosea nyumba maana unaweza ukaibomoa na kujenga nyingine ya style mpya ,,, ila usidhubutu kukosea ndoa( mwenza wako) maana ukikosea kuoa Basi umekosea na maisha, you'll live to regret forever.

Aisee Kama Kuna maamuzi ambayo mtu anatakiwa kuyafanya akiwa na utulivu Wa akili( sober mind) Basi bila Shaka Ni maamuzi ya ndoa,Yaani kumchagua mtu sahihi utakayeishi naye Kama mke/ mume.Ikiwezekana muhusishe Mungu akuonyesha mwenza wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…