Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Mimi nadhani kuishi pamoja kama mume na mke ndo kunahitaji uvumilivu.

Wote mvumiliane na sio uvumilivu uwe wa upande mmoja tu.

Kumwona mwenzio ndiye mwenye mapungufu na wewe kujiona uko timilifu nayo ni mapungufu.
Sijawahi ona mwanaume akiwa anaconplain mapungufu yake na mkewe.
Lkn unapojaribu kumweka sawa mke maneno mengi huwatoka.
Wanawake wengi huzoea ndoa na inafikia kipindi anashibdwa kutofautisha nani anayeongea naye.
Ndoa kwa mwanaume ni tamu mwa kipindi cha firstborn.
 
mkuu bado unaweza ukasolve hii ishu unataka kusema amekushinda? ndio maana mwanaume akaitwa kichwa cha familia think harder!
 
Hakuna Mwanaume yoyote amae ameoa hajawahi au hatoumizwa na mwanamke aliemuoa, hayupo, kama yupo basi ni mume bwege au hajitambui au amejitia ukiziwi au upofu kupisha mambo yapite.
Kabla na wakati wa ndoa huwa ndio wanabeba title yao.
Lkn baada ya ndoa na jinsi unavyomjali sijui huwa akili zao zinakwenda wapi.
Sonetimes hununua ugomvi yeye mwenyewe. Migogoro baina ya familia au ndani ya familia ni kitu cha kawaida basi maneno huwatoka mpaka kero.
Na laiti maumbo yao yangekuwa hayadetoralate mapema tungekoma
 
yaani wewe unakuja kusema mambo haya juku jf kuwa mkeo hafui chu.pi na papuche pia ni chafu aisee ipo kazi
 
sasa kwani suala hili linahusiana na balance sheet mke hafui pichu wala sijui haogi ama sijui huyu jamaa anamaanisha nini anaposema si msafi wa kitandani wala nguo za ndani. hapo hakuna cha balance sheet huyu mkewe mpuuzi tu miaka sita unapigiwa kelele za kufua chupi ni mwanamke wa aina gani huyu
 

Hili ndo hasa la msingi, tatizo wanawake wengi wa siku hizi ni wajuaji na mme akiwa smart mpenda kutafuta suluhu kwa njia ya amani mara zote mke huishia kujenga kiburi na dharau kwa mume huyo.

Mpaka kufikia stage mwanamke anakuwa mjeuri kiasi hicho ujue amekudharau sana.. Wanaume wengi hujitahidi ku adopt huo mfumo wanaodai wanawake wa kuwa favour kimaisha ila mwisho wa siku it never works.

Tunaamua kuwa wababe tu kama suluhisho la kupata amani hamna kubembelezana tena. Na wanawake walivyo hovyo nao wanashindana nasi kuvua chupi nje ya ndoa. Na huo ndio ukweli sasa!
 
Huyo ni chaguo lakooooooo,chaguo lako hta kama ni.............chaguo lako
 
eeeeh hiyo sasa si ndoa ikifikia hiyo hali bora muachane....lol
 
Kuna mwanamke wa kubembeleza ilo sio mwanamke wa kiafrika. Utaumia yanii!
Kama huamini jaribu...
Hao wa kubembeleza wakawa waelewa labda wa nje ya hili bara. Kama mme unatafuta kufulishwa hadi chupi za mke na kubebelea majukumu mengine ya mkeo mdekeze mwanamke wa kiafrika!
 
Tumeelewa ila kumbuka na wanawake wanasema kuishi na mume kunataka uvumilivu wa chuma,ni ngoma droo don't judge that every one has his/her way to handle his/her marriage.
 
1. Kuongea kwa mwanamke ni kawaida. Hata wanasayansi wameprove. Hakuna jipya hapo.

2. Outing yako na kufanya kazi na wanawake kuna uhusiano gani????? Jichunguze, huo ukaribu usiopendwa na mkeo

3. Kama kusafisha room yupo rough maana yake si ndio udhaifu wake? Unatakiwa uchukulie madhaifu ya mwenzako unless wewe uko PERFECT bila madhaifu???

ZINGATIO:
Wanandoa ni mwiko kutoa siri za ndani za wenza wao


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…