establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,435
- Thread starter
- #141
Wake zetu si kwamba hatuoni vibinti huko nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa.Mimi ukinitafutia mwenzangu na mm natafuta mwenzio ngoja droo
Sijawahi ona mwanaume akiwa anaconplain mapungufu yake na mkewe.Mimi nadhani kuishi pamoja kama mume na mke ndo kunahitaji uvumilivu.
Wote mvumiliane na sio uvumilivu uwe wa upande mmoja tu.
Kumwona mwenzio ndiye mwenye mapungufu na wewe kujiona uko timilifu nayo ni mapungufu.
Kabla na wakati wa ndoa huwa ndio wanabeba title yao.Hakuna Mwanaume yoyote amae ameoa hajawahi au hatoumizwa na mwanamke aliemuoa, hayupo, kama yupo basi ni mume bwege au hajitambui au amejitia ukiziwi au upofu kupisha mambo yapite.
Kwa akili yako hii namuonea huruma sana mume ulienae au mtarajiwa wako!Mimi ukinitafutia mwenzangu na mm natafuta mwenzio ngoja droo
yaani wewe unakuja kusema mambo haya juku jf kuwa mkeo hafui chu.pi na papuche pia ni chafu aisee ipo kaziNianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.
Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.
NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.
UPDATE: 22 Novemba 2016
Wake zetu tunawapenda sana ila mnaongea mno kupitiliza. Binafsi situmii kilevi, wala si mtu outgoing kivile isipokuwa mara chache nikiwa na pesa kidogo tunatafuta outing na familia ufukweni au nje ya mji Bagamoyo ama Lushoto au Arusha. Lakini sasa huyu mke wangu yeye hataki nifanye kazi na mwanamke yeyote, duuh! Hili kwangu haliwezekani maana kwa kazi yangu nakutana na wengi (wanaume & wanawake).
Pia usafi chumbani ni ovyo ovyo si usafi wa kitanda wala nguo za ndani, nimezungumza mpaka nimechoka, kuna wakati fulani dada wa kazi eti alikuwa anafanya usafi chumbani kwetu, bila kuingilia kati huenda angepewa na cchuup afue.
Nimeamua kuwa mhanga nafua nguo za ndani ninazozikuta kwenye tenga (zikiwemo zake) na kufanya usafi chumbani.
**Ila akili kichwani asee hapa nimechamba nimeibuka na nnyaa
sasa kwani suala hili linahusiana na balance sheet mke hafui pichu wala sijui haogi ama sijui huyu jamaa anamaanisha nini anaposema si msafi wa kitandani wala nguo za ndani. hapo hakuna cha balance sheet huyu mkewe mpuuzi tu miaka sita unapigiwa kelele za kufua chupi ni mwanamke wa aina gani huyuUkitaka amani katika familia ni lazima baba awe kichwa yaani mfalme.yaani mfumo dume. Haiwezekani basi bora umkabidhi madaraka tu. Vitabu vitakatifu havikukosea kumpa mamlaka baba. Wanawake mtusamehe lakini ndio ukweli hakuna balance sheet kati ya mume na mke kwisha!
as i always say NDOA za siku hizi zimejaa unafki sana
Kama kweli unampenda mtu/una upendo wa kweli kwake huwezi kumuudhi hata sekunde na hata ikitokea umeteleza lazima utatafuta kila njia ya kuirudisha AMANI upya
Kabla hata hujafanya upuuzi wako u will be concern na je mwenzako atalipokeaje hilo jambo akija kusikia au kuona???
Huyo ni chaguo lakooooooo,chaguo lako hta kama ni.............chaguo lakoNianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.
Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.
NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.
UPDATE: 22 Novemba 2016
Wake zetu tunawapenda sana ila mnaongea mno kupitiliza. Binafsi situmii kilevi, wala si mtu outgoing kivile isipokuwa mara chache nikiwa na pesa kidogo tunatafuta outing na familia ufukweni au nje ya mji Bagamoyo ama Lushoto au Arusha. Lakini sasa huyu mke wangu yeye hataki nifanye kazi na mwanamke yeyote, duuh! Hili kwangu haliwezekani maana kwa kazi yangu nakutana na wengi (wanaume & wanawake).
Pia usafi chumbani ni ovyo ovyo si usafi wa kitanda wala nguo za ndani, nimezungumza mpaka nimechoka, kuna wakati fulani dada wa kazi eti alikuwa anafanya usafi chumbani kwetu, bila kuingilia kati huenda angepewa na cchuup afue.
Nimeamua kuwa mhanga nafua nguo za ndani ninazozikuta kwenye tenga (zikiwemo zake) na kufanya usafi chumbani.
**Ila akili kichwani asee hapa nimechamba nimeibuka na nnyaa
eeeeh hiyo sasa si ndoa ikifikia hiyo hali bora muachane....lolHili ndo hasa la msingi, tatizo wanawake wengi wa siku hizi ni wajuaji na mme akiwa smart mpenda kutafuta suluhu kwa njia ya amani mara zote mke huishia kujenga kiburi na dharau kwa mume huyo.
Mpaka kufikia stage mwanamke anakuwa mjeuri kiasi hicho ujue amekudharau sana.. Wanaume wengi hujitahidi ku adopt huo mfumo wanaodai wanawake wa kuwa favour kimaisha ila mwisho wa siku it never works.
Tunaamua kuwa wababe tu kama suluhisho la kupata amani hamna kubembelezana tena. Na wanawake walivyo hovyo nao wanashindana nasi kuvua chupi nje ya ndoa. Na huo ndio ukweli sasa!
tehe tehe tehe tehe wimbo mzuri sana huoHuyo ni chaguo lakooooooo,chaguo lako hta kama ni.............chaguo lako
Kuna mwanamke wa kubembeleza ilo sio mwanamke wa kiafrika. Utaumia yanii!Hua nashangaa sanaa,sidhani kama wanajua umuhimu wa mwanamke au thamani yake,inahitaji mwanamme alokua na hekma sana kuelewa jinsi gani atatue tatizo la nyumbani kwake,mwanamke anahitaji kubembelezwa, kudekezwa,kwa maneno matamu lakini wanaume wengine Kama vile wakojeshini na mkewe time yote sura kaikunja kama anakunywa shubiri,akiingia ndani amani hakuna mpaka Paka anakimbia...
Ungejua vitimbi vyake ungenionea huruma.Kwa akili yako hii namuonea huruma sana mume ulienae au mtarajiwa wako!
Achana na wanawake