Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Hahaha miaka hiyo labda kwa kijijini lakini mjini mmmmKwa umri jiandae kupata shinikizo la moyo kabla hujatimiza miaka 23
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha miaka hiyo labda kwa kijijini lakini mjini mmmmKwa umri jiandae kupata shinikizo la moyo kabla hujatimiza miaka 23
Siyo Mario pesa ninayo ya kummudu huyu demu. [emoji17]Ooh kumbe wewe ni Marioo Jazz Band!
Hongera komaa tu umri huo eti kakuzidi mbona kidogo hiyoSiyo Mario pesa ninayo ya kummudu huyu demu. [emoji17]
Japo wazazi wamenikatalia sana na kunisisitiza kuwa siku zote mwanamke hatakiwi kukuzidi kiumri inabidi miaka 5 kuendelea umzidi, me nimeng'ang'ania kuwa nampenda sana nitamuoa,Hongera komaa tu umri huo eti kakuzidi mbona kidogo hiyo
kama anajitambua na unapewa heshima hakunaga shida
Pole ila ongea nao wasiwe na kinyongo na mkeo,maana maneno huumba ila umri huo anaweza kuja kuwa bonge ukaanza kumkinai [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Japo wazazi wamenikatalia sana na kunisisitiza kuwa siku zote mwanamke hatakiwi kukuzidi kiumri inabidi miaka 5 kuendelea umzidi, me nimeng'ang'ania kuwa nampenda sana nitamuoa,
Wazee wamekubali ila wamesema ole wako ulete miguu yako nyumbani kutueleza mkeo anakusumbua.
ila me king'ang'anizi nimesema nataka kuoa... [emoji13] [emoji23] [emoji1]
Weeeeee... Vibonge sitaki natimua aende kwao chattle.... [emoji1] [emoji23]Pole ila ongea nao wasiwe na kinyongo na mkeo,maana maneno huumba ila umri huo anaweza kuja kuwa bonge ukaanza kumkinai [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mbona kaka zako wanatupenda sie?hivi ni 29yrs auWeeeeee... Vibonge sitaki natimua aende kwao chattle.... [emoji1] [emoji23]
Anakuzidi umri gani!Weeeeee... Vibonge sitaki natimua aende kwao chattle.... [emoji1] [emoji23]
Miaka 8 [emoji87] [emoji17]Anakuzidi umri gani!
Haaa weweeeee dogo mbona mingi sana mie nilijua miez 8 aise hapo mmm [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwaMiaka 8 [emoji87] [emoji17]
Ameniahidi ataniheshimu kujilinda lakini watu wengi wananisikitia wanasema unaenda kunywa sumu mwenyewe siwaelewi ujue. [emoji13] [emoji1]Haaa weweeeee dogo mbona mingi sana mie nilijua miez 8 aise hapo mmm [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa
wenzetu haina shida lakini huku bongo imbombo mkafu, sasa huyo ulimfuataje! Atakulea kama mwanaye[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Wanaume bana..[emoji3][emoji3]Mimi mke wangu akinisaliti na nikagundua na ushahidi nikawa nao sina mjadala wala malumbano ya hoja.
[emoji3][emoji3]hivi umsifie mke sifa ambazo hana? yaani utunge uongo kisa kumsifia mtu tu? No thank you!
WamefanyajeWanaume bana..[emoji3][emoji3]
Mkifumaniwa nyinyi mnomba msamaha unakubaliwa..akifumaniwa mwanamke dhambi..na kuacha mnaachaWamefanyaje
Sasa hapo si makubaliano ikitokea mwanamke akikataa msamaha basi, kwani huwa tunawalazimisha, si huwa tunawaomba??? Kwa hiyo mna uhuru wa kuchaguaMkifumaniwa nyinyi mnomba msamaha unakubaliwa..akifumaniwa mwanamke dhambi..na kuacha mnaacha
Najua hua hamtulazimishi..watoto tuko na huruma na watoto pia tofauti na nyinyiSasa hapo si makubaliano ikitokea mwanamke akikataa msamaha basi, kwani huwa tunawalazimisha, si huwa tunawaomba??? Kwa hiyo mna uhuru wa kuchagua
Uwe na Pesa ukabebe Skrepa? Uache vitu chuchu saa 6. Kuwa serious basi ndugu!Siyo Mario pesa ninayo ya kummudu huyu demu. [emoji17]