Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Hongera komaa tu umri huo eti kakuzidi mbona kidogo hiyo
kama anajitambua na unapewa heshima hakunaga shida
Japo wazazi wamenikatalia sana na kunisisitiza kuwa siku zote mwanamke hatakiwi kukuzidi kiumri inabidi miaka 5 kuendelea umzidi, me nimeng'ang'ania kuwa nampenda sana nitamuoa,

Wazee wamekubali ila wamesema ole wako ulete miguu yako nyumbani kutueleza mkeo anakusumbua.
ila me king'ang'anizi nimesema nataka kuoa... [emoji13] [emoji23] [emoji1]
 
Pole ila ongea nao wasiwe na kinyongo na mkeo,maana maneno huumba ila umri huo anaweza kuja kuwa bonge ukaanza kumkinai [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Weeeeee... Vibonge sitaki natimua aende kwao chattle.... [emoji1] [emoji23]
 
Miaka 8 [emoji87] [emoji17]
Haaa weweeeee dogo mbona mingi sana mie nilijua miez 8 aise hapo mmm [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa
wenzetu haina shida lakini huku bongo imbombo mkafu, sasa huyo ulimfuataje! Atakulea kama mwanaye[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Ameniahidi ataniheshimu kujilinda lakini watu wengi wananisikitia wanasema unaenda kunywa sumu mwenyewe siwaelewi ujue. [emoji13] [emoji1]
 
Ndoa jamani ndoaaa...kuolewa na mwanaume mpenda pombe kupitiliza+gubu =moyo wa uvumilivu haswa
 
Mkifumaniwa nyinyi mnomba msamaha unakubaliwa..akifumaniwa mwanamke dhambi..na kuacha mnaacha
Sasa hapo si makubaliano ikitokea mwanamke akikataa msamaha basi, kwani huwa tunawalazimisha, si huwa tunawaomba??? Kwa hiyo mna uhuru wa kuchagua
 
Najua hua hamtulazimishi..watoto tuko na huruma na watoto pia tofauti na nyinyi
 
Back
Top Bottom