Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah....hiyo mioto mbona wengine hatuioni? Au sisi ni vilaza? [emoji2960]Sina la kuongeza maana nimeoa nauona moto wake,
Unaweza kuyayusha hata hicho Chuma cha uvumilivu.
Wanawake kama wewe kule kwetu wanaitwa "VIGEGO" kwenye kuota meno yalianza ya juu kwanza...... kimila huwa hawaolewi sababu ubishi wameumbwa nao.Mimi ukinitafutia mwenzangu na mm natafuta mwenzio ngoja droo
makubwa mmeanza kuwasema huku...watawanyoosha hakika ....kuna waliooa wanafurahia hawakuwahi hata kujutia kuwaoa wake zao na kuna ambao wanajutia kuoa hahaha..halafu hapo vuta picha na mwanamke ulimwacha bila sababu na alikuonyesha upendo wa dhati halafu ukamwona kama bwege,,,hapo lazima umkumbuke,,,,,tehteh....uwiii
Mambo mengine yafanye Wewe. Usimsemeshe. Atakuona bwege. Usijali. Tunza wanao.MDOMONI WAKO STRONG, VERY STRONG.MOYONI WAKO WEAK, VERY WEAK. Na bado wanajiita strong ladies.HAHAHA😀
Nyau weMambo mengine yafanye Wewe. Usimsemeshe. Atakuona bwege. Usijali. Tunza wanao.
Usimpe Fedha . Jifunze majibu mafupi Sana kwake.
Tuma meseji fake kwa wanawake wengi ,acha asome kwenye SIMU.
Akija juu usimjali.
MPE test ya Kwenda kwao akajifunze. Asibebe watoto.
Akienda kaa kimya usimtafute.
Baada ya miezi kadhaa akirudi AMENYOOKA.
Kwahiyo wanaume hawakosei sio?Hawa Viumbe wanahitaji moyo mkuu
Ndo hivo hata hivo huyu bwana mdogo hapa anajuuuta kukutana na jike la kimachame, mwanamke sicheki, muda wote nimeula wa mbuzi tu, *****Tuliooa Uchagani kazi si ya kitoto
So unajisifia ujinga unaona ujanja siyo!?Ndo hivo hata hivo huyu bwana mdogo hapa anajuuuta kukutana na jike la kimachame, mwanamke sicheki, muda wote nimeula wa mbuzi tu, *****
Ujinga kwako, ulitakaje kwa mfano? Jitu zima hovySo unajisifia ujinga unaona ujanja siyo!?
Pathetic!
Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.
Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.
NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.
======
Unaweza kutazama mkasa huu ukisomwa ktk Kipind cha JamiiLeo
======
UPDATE: 22 Novemba 2016
Wake zetu tunawapenda sana ila mnaongea mno kupitiliza. Binafsi situmii kilevi, wala si mtu outgoing kivile isipokuwa mara chache nikiwa na pesa kidogo tunatafuta outing na familia ufukweni au nje ya mji Bagamoyo ama Lushoto au Arusha.
Lakini sasa huyu mke wangu yeye hataki nifanye kazi na mwanamke yeyote, duuh! Hili kwangu haliwezekani maana kwa kazi yangu nakutana na wengi (wanaume & wanawake).
Pia usafi chumbani ni ovyo ovyo si usafi wa kitanda wala nguo za ndani, nimezungumza mpaka nimechoka, kuna wakati fulani dada wa kazi eti alikuwa anafanya usafi chumbani kwetu, bila kuingilia kati huenda angepewa na cchuup afue.
Nimeamua kuwa mhanga nafua nguo za ndani ninazozikuta kwenye tenga (zikiwemo zake) na kufanya usafi chumbani.
**Ila akili kichwani asee hapa nimechamba nimeibuka na nyaa.
27 Januari, 2017
Miaka kadhaa ya NDOA, nina USHUHUDA
29 Januari, 2017
Kujidai kusali kutwa/kucha na kushinda makanisa ni KUTAFUTA MIUJIZA huku haumuheshimu mumeo ni kujidanganya tu.
Sasa utaacha kujenga familia uhangaike na kumtafutia mke mwingine?????Dawa ni kumtafutia mwanamke mwingine, mbona jeuri itaishaa.
Yaani huko ni kujisahau kulikopitiliza kwa wanawake kwa kweli, ni kuzoea ndoa huko ila kila mmoja ana mapungufu na yapo yanayorekebishika
nime "like" kigori ingawa ukisema kumtafutia mwenzie naona kama ni kuongeza tatizo hivi.Dawa ni kumtafutia mwanamke mwingine, mbona jeuri itaishaa.
Yaani huko ni kujisahau kulikopitiliza kwa wanawake kwa kweli, ni kuzoea ndoa huko ila kila mmoja ana mapungufu na yapo yanayorekebishika
Kuna tofauti hapo!nime "like" kigori ingawa ukisema kumtafutia mwenzie naona kama ni kuongeza tatizo hivi.
Kweli kabisa mkuu. Sitokuja kuoa kwasababu sioni faida ya ndoa kwenye maisha yangu..hahaaa[emoji3][emoji3][emoji3],wewe sidhani kama utaoa