Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Hakuna
makubwa mmeanza kuwasema huku...watawanyoosha hakika ....kuna waliooa wanafurahia hawakuwahi hata kujutia kuwaoa wake zao na kuna ambao wanajutia kuoa hahaha..halafu hapo vuta picha na mwanamke ulimwacha bila sababu na alikuonyesha upendo wa dhati halafu ukamwona kama bwege,,,hapo lazima umkumbuke,,,,,tehteh....uwiii
 
MDOMONI WAKO STRONG, VERY STRONG.MOYONI WAKO WEAK, VERY WEAK. Na bado wanajiita strong ladies.HAHAHA😀
Mambo mengine yafanye Wewe. Usimsemeshe. Atakuona bwege. Usijali. Tunza wanao.
Usimpe Fedha . Jifunze majibu mafupi Sana kwake.
Tuma meseji fake kwa wanawake wengi ,acha asome kwenye SIMU.
Akija juu usimjali.
MPE test ya Kwenda kwao akajifunze. Asibebe watoto.
Akienda kaa kimya usimtafute.
Baada ya miezi kadhaa akirudi AMENYOOKA.
 
Mambo mengine yafanye Wewe. Usimsemeshe. Atakuona bwege. Usijali. Tunza wanao.
Usimpe Fedha . Jifunze majibu mafupi Sana kwake.
Tuma meseji fake kwa wanawake wengi ,acha asome kwenye SIMU.
Akija juu usimjali.
MPE test ya Kwenda kwao akajifunze. Asibebe watoto.
Akienda kaa kimya usimtafute.
Baada ya miezi kadhaa akirudi AMENYOOKA.
Nyau we
 
Ndo hivo hata hivo huyu bwana mdogo hapa anajuuuta kukutana na jike la kimachame, mwanamke sicheki, muda wote nimeula wa mbuzi tu, *****
So unajisifia ujinga unaona ujanja siyo!?

Pathetic!
 
Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.

Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.

NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.
======

Unaweza kutazama mkasa huu ukisomwa ktk Kipind cha JamiiLeo

======

UPDATE: 22 Novemba 2016

Wake zetu tunawapenda sana ila mnaongea mno kupitiliza. Binafsi situmii kilevi, wala si mtu outgoing kivile isipokuwa mara chache nikiwa na pesa kidogo tunatafuta outing na familia ufukweni au nje ya mji Bagamoyo ama Lushoto au Arusha.

Lakini sasa huyu mke wangu yeye hataki nifanye kazi na mwanamke yeyote, duuh! Hili kwangu haliwezekani maana kwa kazi yangu nakutana na wengi (wanaume & wanawake).

Pia usafi chumbani ni ovyo ovyo si usafi wa kitanda wala nguo za ndani, nimezungumza mpaka nimechoka, kuna wakati fulani dada wa kazi eti alikuwa anafanya usafi chumbani kwetu, bila kuingilia kati huenda angepewa na cchuup afue.

Nimeamua kuwa mhanga nafua nguo za ndani ninazozikuta kwenye tenga (zikiwemo zake) na kufanya usafi chumbani.

**Ila akili kichwani asee hapa nimechamba nimeibuka na nyaa.

27 Januari, 2017
Miaka kadhaa ya NDOA, nina USHUHUDA

29 Januari, 2017
Kujidai kusali kutwa/kucha na kushinda makanisa ni KUTAFUTA MIUJIZA huku haumuheshimu mumeo ni kujidanganya tu.


Ndoa ni unnatural.
 
Dawa ni kumtafutia mwanamke mwingine, mbona jeuri itaishaa.

Yaani huko ni kujisahau kulikopitiliza kwa wanawake kwa kweli, ni kuzoea ndoa huko ila kila mmoja ana mapungufu na yapo yanayorekebishika
Sasa utaacha kujenga familia uhangaike na kumtafutia mke mwingine?????
Yote Ni sawa...mke mwingine au mchepuko ila Ni kupoteza kipato Cha familia tu....huo mchepuko unaweza ukawa umafyonza mrija mkuu wa income ya familia kuliko hata main house ...eg mke anakunywa coca....mchepuko savanna au saint Anne ...nyumbani maharage... Mke mdogo kuku,maini na mapochopocho ya Bei.

All in all wanawake wanna vichwa panzi Sana ....Kama Mimi najuta kwanini nilioa na utotoni hata wazazi wanajua nilisema nitazalisha wanawake tofauti tofauti then nikae na watoto wangu mwenyewe.

Nasema hivi, ndoa Ni jahanamu ingia for your own risk.
 
Siwezi kuruhusu demokrasia kwenye mahusiano yangu Mimi haya ya ndoa. Kama mbwai iwe mbwai tu ila hizi ndevu lazima ziheshimiwe.

yes natambua na yeye ni binadamu anatakiwa kufanyiwa Kama ninavyofanyiwa Mimi ila hawa viumbe hawaelewi unampa rift analazimisha kupiga na honi.

Miezi miwili tu baada ya ndoa mwenzangu akaniletea picha picha, vibao nilivyompa alikaa mwezi mzima haamini, nilimwambia nimekuoa ila uamuzi wa kukurudisha kwenu siwezi kusubili nikiwa nimelewa.

Uanamume ni pamoja na kuwa na maamuzi magumu cha msingi iwe katika kujenga na sio kubomoa.
 
Dawa ni kumtafutia mwanamke mwingine, mbona jeuri itaishaa.

Yaani huko ni kujisahau kulikopitiliza kwa wanawake kwa kweli, ni kuzoea ndoa huko ila kila mmoja ana mapungufu na yapo yanayorekebishika
nime "like" kigori ingawa ukisema kumtafutia mwenzie naona kama ni kuongeza tatizo hivi.
 
Back
Top Bottom