Kuishi na Mtoto wa kufikia ni jukumu zito sana

Habari zenu,

Nimeona uzi wa Mdau akilalamika kuwa Mtoto wa Single Mother anadekezwa sana na Mama yake na akitaka kuchukua hatua Mama mtu anasema anamnyanyasa mwanae.

Kiukweli suala la kuishi na mtoto wa mtu ni jambo gumu sana maana unahitaji kuwa Boya na Pretender ili uonekane una mapenzi kwa mtoto, ni watu wachache sana wanaoweza kuishi maisha ya namna hiyo.

Kama umezaa na kuna uwezekano wa Mtoto kuishi mbali basi ni vyema mkafanya hivyo kuliko kuleteana maneno kwenye malezi ya mtoto wa nje.

USHAURI
KAMA HAUNA MTOTO NI VYEMA UKATAFUTA MWENZA ASIE NA MTOTO ILI KUEPUSHA MANENO KWENYE MALEZI.

Asante Kwa bandiko ZURI

Umesahau kumalizia neno

Job true true 😉😀😀
 
Kwa hiyo unataka kutreat watoto unequal Kwa Nini?nyie ndio mnaoibuaga tafrani kwenye family.....mpende mwanao wa kumzaa sawa ila kuonyesha ubaguzi sio issues
Kuna kutreat unequally intentionally as in ubaguzi na kuna kutreat mtu unequally unintentional sasa mimi naongelea namba 2
Watoto wa kuzaa tu wakiwa wengi huwezi kuwapenda equally sembuse wa kufikia?

Wewe kama ni single mother jali mwanao to your best, don't have too high expectations kwa baba mpya au kulazimisha upendo ambao haupo.
Muhimu mtu autambue uwepo wa mtoto na awe tayari kuishi nanyi wote kwa moyo mweupe unless kama mtoto toka mwanzo alikua analelewa na ndugu
 
Okay..mnadhani single mothers wanaoforce watakuelewa
 
Kwanin uzae watoto wengi
 
Mkuu, tatizo la vijana siku hizi wamekuwa wabishi sana. Vilevile wanajiona wao ni Spesho, Yaani wana amini lililomkuta Baba wa Mtoto haliwezi kumkuta yeye, wanahisi wao ndio mafundi wa kuwatuliza hao wanawake, na hao Wanaume waliowaacha hawana akili.

UKWELI NI, Kijana husiana na single mother at your own Risk, narudia tena AT YOUR OWN RISK. aliposhindwa Mwanaume mwenzako usifikiri wewe utapaweza. Huwa ni swala la muda tu.

Be a Man, Mabinti ambao hawajaolewa wapo kibao mtaani, yafaa nini kuhangaika na mke wa mtu.

Inawezekana ulishindwana nae kwa hulka na tabia zako

A really gentleman atamuweza
 
Hamna lolote!kikubwa wazazi mkiwa na upendo na mnasikilizana na kuheshimiana mnalea watoto wenu fresh kabisa.....tatizo hao mioyo yao haijaambatana

Shida inaanzia
Hapo kwenye kusikilizana na kuelewana

Sio simple simple kama ulivyoandika
 
Single Maza wengi ni pasua kichwa we Jichanganye kwasababu ana Tako kubwa!

Kuna mshikaji wetu alijichanganya Kwa single Maza Sasa hivi anaongea peke yake Barabarani kama chizi!
Kuna msemo wa kihangaza usemeo hivi. Ukiona gogo limemshinda mwanaume mwezako wewe pita pembeni. Masingo maza walishindwa na wanaume walio wazalisha Sasa kinacho mfanya mwanaume ambaye Hana mtoto kufikiri anaweza kumudu mwanamke mwenye nini?
 
Okay..mnadhani single mothers wanaoforce watakuelewa
Nishaona mmoja alikua analalamika baba anabagua uzuri wamekutana wote wana prior kids ila bado hawana mtoto wa pamoja...
Mtoto wa baba ni mkubwa kiasi (secondary) na toka mdogo analelewa na bibi yake toka mama mzazi afariki so hakai na wao, ila wa mama yupo primary na anakaa nao
Baba mpya ana hela, mama ana hela za kawaida na mtoto anasoma private ya kawaida.
Alikua anaforce baba aongeze ada ili mtoto asome private ya juu zaidi kulingana na status yake aliyoipata baada ya kuolewa. Sasa baba naona kakaza.
Mind you, baba halisi yupo ila sio that much cooperative baada ya kuona mwenzie kaolewa alitaka kumnyang'anya mtoto kumkomoa ila ikishindikana so dizaini kama kasusa.
 
Kwanza kama baba yake yupo hai na responsible na anamtaka mtoto wake ni vyema kumruhusu mtoto aende Kwa baba yake akapate haki zake za msingi.... tatizo kuna baadhi ya wadada wanafanyaga watoto ni vitega uchumi
 
Baba hana mke... hata akimchukua mtoto anaenda kukaa boarding since primary.
Plus angekua na nia njema angemchukua mtoto toka zamani alivyohit 7 yrs, why wait mtu amove on na mtu ambaye kakuzidi kila kitu ndo uanze kung'ang'ania mtoto?
Hata ungekua wewe huwezi ruhusu mtoto wako wa kike ambae una mazingira ya kuishi nae akakae na baba ambae hana mke.
 
Back
Top Bottom