Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Asante Mkuu.Hongera ume move on haraka sana!!hujachungulia kama Jamaal name ka move on haraka kama wewe!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Mkuu.Hongera ume move on haraka sana!!hujachungulia kama Jamaal name ka move on haraka kama wewe!!?
Wangu wangu😜Yaani kuitwa “babe” tu unakoroma hivyo,huku mtaani kuna watu wanaitwa “my wangu” na wame chill
Una asili ya kanda gani mzee?
Wangu wangu[emoji12]
basi mambo ya mjini tuachie sisi watu wa mjini, shika jembe ukaandae shambaNi wapi nimesema nipo mjini?
Kuna ile mood ya bby nikuambie kitu ,apo hauwezi kulala na pesa mkuu.Kila jina na mood ya wakati huo
Hilo la zamani ya kisasa utasikia baba JuniorNawapa mda tu utaanza kumwita baba pendoo
😁😁Hilo la zamani ya kisasa utasikia baba Junior
Nakweli hapa nipo apeche alolo, huna ten ya karibu hapo nikale copper wire hii weekend 🏃🏃Kuna ile mood ya bby nikuambie kitu ,apo hauwezi kulala na pesa mkuu.
Utakula ulipo ipeleka mboga mkuu😁😁Nakweli hapa nipo apeche alolo, huna ten ya karibu hapo nikale copper wire hii weekend 🏃🏃
Au nikifa mtasema ushauri wa Dr Janabi sijaufuataUtakula ulipo ipeleka mboga mkuu😁😁
Babe haimanishi mtoto mkuu angalia dictionary ni neno mahususi kwa mpenzi n.k kwahyo ni haki kuitana na mwandani wakoImagine mwanamme unaitwa babe sijui baby, yaani mtoto?
Hii sio kweli.
Kwa mwanamke ni sawa, sababu hata kwa kiswahili tunawaita watoto yaani 'totoz' au 'bebez'.... kwa mwanamme ina maana gani?
Kama ni kwa mahaba, basi iishie siku za mwanzo tu za uchumba ile kudanganyia.... ukishanasa haina maana tena na sio heshima.
Mkeo akuite kwa heshima na hadhi yako, majina yanayosadifu mamlaka yako ndani ya nyumba.
Bwana, baba au mume na mengine ya kufanana hivyo kwa lugha yoyote yatumike sana.
Japo mapenzi ni utoto, ila familia haihitaji mapenzi tu bali heshima na wajibu kuijenga.... huwezi kumtiisha mtu anayekuita 'mtoto'.
Ncha Kali.