Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Just find outWapi nimejiita born town?
Acha kuwa complicator, hiyo maana unaileta weweImagine mwanamme unaitwa babe sijui baby, yaani mtoto?
Hii sio kweli.
Kwa mwanamke ni sawa, sababu hata kwa kiswahili tunawaita watoto yaani 'totoz' au 'bebez'.... kwa mwanamme ina maana gani?
Kama ni kwa mahaba, basi iishie siku za mwanzo tu za uchumba ile kudanganyia.... ukishanasa haina maana tena na sio heshima.
Mkeo akuite kwa heshima na hadhi yako, majina yanayosadifu mamlaka yako ndani ya nyumba.
Bwana, baba au mume na mengine ya kufanana hivyo kwa lugha yoyote yatumike sana.
Japo mapenzi ni utoto, ila familia haihitaji mapenzi tu bali heshima na wajibu kuijenga.... huwezi kumtiisha mtu anayekuita 'mtoto'.
Ncha Kali.
Acha kuwa complicator, hiyo maana unaileta wewe
Baby ya mtoto na baby ya mpenzi ni vitu viwili tofauti hata kwenye matamshi yake
Ha ha ha ukorofi huocc: Kingsmann [emoji4]
Mimi pia nilikuwa nakutafuta, embu ngojaNakutafuta sana
Kwaiyo nani kakwambia tumeachana na mchumba huyoTulisema mtaachana tu.😀😀