philanthropistx1 New Member Joined Jan 24, 2024 Posts 3 Reaction score 0 Feb 11, 2024 #1 Nimeitwa aptitude test wakati sina cheti cha shahada inayohitajika. Naomba ushauri.
K KingGuaje Senior Member Joined Dec 30, 2019 Posts 141 Reaction score 249 Feb 11, 2024 #2 Ushauri gani unaunitaji hapa Mkuu Una shahada ya kozi tofauti na wanayohitaji au huna kabisa hiyo shahada ?
Ushauri gani unaunitaji hapa Mkuu Una shahada ya kozi tofauti na wanayohitaji au huna kabisa hiyo shahada ?
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Feb 11, 2024 #3 nenda kawe shemanzi wa TCB
philanthropistx1 New Member Joined Jan 24, 2024 Posts 3 Reaction score 0 Feb 11, 2024 Thread starter #4 KingGuaje said: Ushauri gani unaunitaji hapa Mkuu Una shahada ya kozi tofauti na wanayohitaji au huna kabisa hiyo shahada ? Click to expand... mkuu niliomba just kujaribu coz chuo namalza mwezi wa saba 2024 na CV inaonyesha ndo nikawa shortlisted kwenye APTITUDE TEST for operation auditor II
KingGuaje said: Ushauri gani unaunitaji hapa Mkuu Una shahada ya kozi tofauti na wanayohitaji au huna kabisa hiyo shahada ? Click to expand... mkuu niliomba just kujaribu coz chuo namalza mwezi wa saba 2024 na CV inaonyesha ndo nikawa shortlisted kwenye APTITUDE TEST for operation auditor II
philanthropistx1 New Member Joined Jan 24, 2024 Posts 3 Reaction score 0 Feb 11, 2024 Thread starter #5 Kaka yake shetani said: shemanzi wa TCB Click to expand... ubarikiwe
K KARLO MWILAPWA JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 2,789 Reaction score 4,951 Feb 11, 2024 #6 Nakushauri ,bora usiende TCB nenda ukiwa unajua kinachofuata