philanthropistx1
New Member
- Jan 24, 2024
- 3
- 0
Nimeitwa aptitude test wakati sina cheti cha shahada inayohitajika. Naomba ushauri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu niliomba just kujaribu coz chuo namalza mwezi wa saba 2024 na CV inaonyesha ndo nikawa shortlisted kwenye APTITUDE TEST for operation auditor IIUshauri gani unaunitaji hapa Mkuu
Una shahada ya kozi tofauti na wanayohitaji au huna kabisa hiyo shahada ?
ubarikiweshemanzi wa TCB