Kuitwa kwenye usaili jimbo la Kigamboni na Ubungo-NEC

Hatimaee nimejipenyeza aisee....maana foleni kuanzia kwa mkapa hadi uwasibu nafikiri
 
Aisee naona hapa kameseji kametumwa ..namba ngeni!!!kina sema habari unatakiwa kufika kesho saa mbili kwa mkapa kwenye interview!!!yan daaa sijui niendee yan hata sielewii...uyu alienitumia meseji ni nani!!!maana sikua na mpango tena
Nenda mkuu usijali waweza okota dodo chini ya mbuyu ya mungu mengi ndugu yangu
 
Tatizo umeongea kama vile huyo dada ametaka mwnyw kufanya hy kazi, lkn yeye mwnyw hajapenda ila maisha magumu na hana namna tena

Mm mwnyw hapa nmemaliza chuo juzi kati tuu hapa lkn hakuna rangi naacha kuiona utadhani nimemalza 2010 hukoooo.!
Kazi ni kazi tu hata hyo ya bar as long as huibi, Mimi siwezi kuwa Sina chakuingiza kipato nione aibu ya kufanya kazi
 

Hahaha.. wangese Sana hao kata. M pia imewai nitokea kilichokutokea.

Kutangazwa Kwa Hz nafasi Napo n geresha Tu. Wanawatu wao tayali..
 
Kiliko nikuta jana pale taifa kwa mkapa baada ya kupata nafasi ya kuingia kwenye interview!!...haha naingia tuu nikamuona jamaa yangu ambae nimesoma nae chuoni??jamaa kuniona akaniita kwa ishara ya macho??...nikamfata...akanambia andika jina namba na jimbo lako??kama wanavyo fanya wengine!!!>>jamaaa anacheka hana mbavuu...kuhusu maswali akanambia broo we nenda tuu hhahah!!!
 
Kuna mmoja kaniambia alivyoingia kwenye usahili kaulizwa swali moja tu akaambiwa aondoke.

Wamemuuliza "taja jukumu moja/kazi ya tume ya uchaguzi Tanzania"..


Alivyojibu akaambiwa haya amsha
 
Hakuna aliyeomba kigambon humu? Nataka kujua kuhusu kituo cha kufanyoa usaili
 
U Ulikua unahofuuu
 
HIvi waloomba kusimamia uchaguzi jimbo la kigamboni washaitwa kwenye usahili!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…