TATA MKURIA
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 299
- 407
- Thread starter
-
- #21
Mechi ikiisha njoo useme hayo tenaAlisikika mlevi mmoja akisema.
Ok, mkuu tutaona utazungumza nini baada ya mechiHizi ramli ndizo zinazo wafanya mbweteke upande wa pili
Hahaha hamna Mtani huo ndio uhalisia wenyewe.Naona umetuchoka Mtani.
Hawezi mfunga,Kwa mfano,Samahani lkn;Sevilla ya kutoka HISPANIA ikifungwa na Simba Sc ya kutoka TANZANIA,Wewe Utaumiaje?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hawa ni wazee wa kukurupuka 🐸Shabiki wa yanga hana tofauti na fans wa ccm
Hahaaa. Ninayo tayari Mtani. 😎😎Hahaha hamna Mtani huo ndio uhalisia wenyewe.
Vipi umeshajichukulia jezi ya Sevilla? 😜😜
Hahaha sawa sawa kabisa.Hahaaa. Ninayo tayari Mtani.
Mujiandae kwa kichapo tu Mtani. Japo wanaeza waonea huruma pia sababu nyie ndio wenyeji wao angalau mkasuluhu nao.Hahaha sawa sawa kabisa.
Tuanzie hapa kwanza,wewe ni mshabiki wa timu gani hapa Tanzania...?Wakuu,
Natabiri hawa mabingwa watetezi na watarajiwa ligi kuu kulambwa bao kadhaa pale kwa mchina na kutuabisha sana. Kama unaamini kama mimi sema "mnyama atakatwa mkia"
Teh teh teh!
Duuh mshaanza sasa, kwa hiyo wakitufunga hatuna uwezo 😐,tukisuluhu nao wametuonea huruma 😱,na tukiwafunga tumebahatisha /kikosi b /tumehonga marefa /hawakujituma uwanjani. 😃Mnakwama wapi aisee ShadeeyaMujiandae kwa kichapo tu Mtani. Japo wanaeza waonea huruma pia sababu nyie ndio wenyeji wao angalau mkasuluhu nao.
Duuh ni ya kweli haya?safari tv
ni ya bure
Hata nikikwambia mimi ni shabiki wa timu xyz itakusaidia nini? Subiri utaona kipigo cha mbwa kwa mnyama ile ni timu ya ulimwengu wa kwanza, soka ni sayansi na sayansi ya timu ya mnyama ni ndogo mno hasa akikutana na timu kubwa kubwa.Tuanzie hapa kwanza,wewe ni mshabiki wa timu gani hapa Tanzania...?
Ninasema hivyo kwa sababu haya maneno yalishasemwa sana na wenzetu wa upande wa pili matokeo yake tukishinda mtaanza kusema tuliwawekea wachezaji wao sumu ili tuwafunge...Mkuu stephot
Hata nikikwambia mimi ni shabiki wa timu xyz itakusaidia nini? Subiri utaona kipigo cha mbwa kwa mnyama ile ni timu ya ulimwengu wa kwanza, soka ni sayansi na sayansi ya timu ya mnyama ni ndogo mno hasa akikutana na timu kubwa kubwa.
Teh teh teh, nimecheeka! Acha kujihami mkuu! Hao jamaa wamekuja kumla mnyama na baadae wakale bata (kutalii)Ninasema hivyo kwa sababu haya maneno yalishasemwa sana na wenzetu wa upande wa pili matokeo yake tukishinda mtaanza kusema tuliwawekea wachezaji wao sumu ili tuwafunge...