Kujaa kwa Bwawa la Mwl. Nyerere ni aibu kubwa kwa mafisadi

Kujaa kwa Bwawa la Mwl. Nyerere ni aibu kubwa kwa mafisadi

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
3,891
Reaction score
8,448
Tangu kuzinduliwa ujazwaji maji wa bwawa kubwa Afrika la kufua umeme na Rais Samia, mvua zimeendelea kunyesha kwa wingi sana na bwawa hilo limeendelea kujaa kwa kasi kinyume na utabiri wa mafisadi wa Ufipa.

Mafisadi yalitabiri bwawa hilo halitajaa kwa sababu Magufuli amekata miti milioni 3 kwenye eneo lenye ukubwa kama mkoa wa Dar es Salaam.

20230211_111553.jpg
 
Hahaha hapo january Makamba anaweza kukwambia maji hayo hayafai kwenye hilo bwawa hivyo yanatakiwa kufunguliwa yatolewe maana yataharibu mitambo! Na mitambo mipya itakuja 2025
Si bora yawe yataharibu tu mitambo. Atatoa tender ya trillion 3 ya kujaza bwawa kwa kampuni XXX ili wachote maji Coco beach na kwenda kujaza bwawa.

Rest Easy Late Magufuli!
 
Nyie Sukuma Gang si ndio mlikuwa mkisema mradi umekufa sababu Kalemani wa Chato alitumbuliwa, akawekwa Makamba?

Leo hii linajazwa maji mnaanza kuja kivingine...!
Kwani unafikiri huo mradi wameumalizia kwa kupenda. Ni vile ulikuwa ushaenda mbali zaidi na hela yake inadaiwa marejesho. Ila ingekuwa kwa fedha zetu bila kufuatiliwa wasingeendelea nao.
 
Kwani unafikiri huo mradi wameumalizia kwa kupenda. Ni vile ulikuwa ushaenda mbali zaidi na hela yake inadaiwa marejesho. Ila ingekuwa kwa fedha zetu bila kufuatiliwa wasingeendelea nao.
Umenena kweli
 
Hahaha hapo january Makamba anaweza kukwambia maji hayo hayafai kwenye hilo bwawa hivyo yanatakiwa kufunguliwa yatolewe maana yataharibu mitambo! Na mitambo mipya itakuja 2025
Kwakweli ni aibu kubwa kwa Januari. Tunamshukuru sana Mama Samia kwa uamuzi makini.
Nyie Sukuma Gang si ndio mlikuwa mkisema mradi umekufa sababu Kalemani wa Chato alitumbuliwa, akawekwa Makamba?

Leo hii linajazwa maji mnaanza kuja kivingine...!
Wewe KENGE tuliza mshono!!

Mmepata aibu kajificheni!! Mwambie na mumeo Zitto kwamba mradi mlioukataa ndo hivyo Mungu kawaumbua
 
Back
Top Bottom