Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Ma rope atatuambia kuwa kipenyo cha kupitishia maji kilikosewa inabidi lishushwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku akisema hutu tuhela tudogo sana zinahitajika zingineSi bora yawe yataharibu tu mitambo. Atatoa tender ya trillion 3 ya kujaza bwawa kwa kampuni XXX ili wachote maji Coco beach na kwenda kujaza bwawa.
Rest Easy Late Magufuli!
Hahahahahah yani huyo jamaa ni shida kweli kweli.Huku akisema hutu tuhela tudogo sana zinahitajika zingine
Mna kazi sana. Poleni!!! Mtamaliza hila zote lkn katu hamtofanikuwa sababu ni Mungu aliyeamua..............zusheni yoooooooooote!Kwani unafikiri huo mradi wameumalizia kwa kupenda. Ni vile ulikuwa ushaenda mbali zaidi na hela yake inadaiwa marejesho. Ila ingekuwa kwa fedha zetu bila kufuatiliwa wasingeendelea nao.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Mie sina hila nawazungumzia hao walamba asali maana walikuwa hawataki kabisa mradi uendelee ila tayari ulishasetiwa kila kitu. Wakabaki wanahunya hunya tu ila ndio ngoma ishasimama.Mna kazi sana. Poleni!!! Mtamaliza hila zote lkn katu hamtofanikuwa sababu ni Jungu aliyeamua..............zusheni yoooooooooote!
Hili bwawa liko nje ya miaka miwili kwa uzalishaji umeme,ingelikuwa Karemani umeme ungeisha washwa mda mrefu,na Makamba alituambia mpaka ili bwawa kujaa itachukua miaka miwili pasipo kujali mvua hipo au la, lakini tunaona mpaka Sasahivi miezi mitatu tu bwawa limeisha furika,hapo ndipo tunapata mashaka na majibu ya Makamba na nia ya huu mradi wa bwawa, Maana Makamba alitaraji huu mradi ukwame iliaseme Magufuli alikurupuka kuuanzisha, lakini kila akilala na kuamka anaona mambo yanasonga.Nyie wachunga ng'ombe mna tabu san, mlisema bwawa limetelekezwa sababu ya makamba. Leo mmekuja na ngonjera nyingine! Mfuga ng'ombe ni mfuga ng'ombe tu hata uumpe ukuu!!
Hizi ni siasa unaleta! Ingawa nimepata taabu kung'amua aina ya lugha na uandishi wako ila kwa kukusaidia tu... Kuna mamb hayahitaj mtu flan ndo atatue bali wataalam na fungu la kuwezesha mradi ukamilike! Dhana uliyonayo ni kwamba utawala uliopita ulikua bora kuliko huu uliopo, but kaa ukijua CCM ni ileile!!Hili bwawa liko nje ya miaka miwili kwa uzalishaji umeme,ingelikuwa Karemani umeme ungeisha washwa mda mrefu,na Makamba alituambia mpaka ili bwawa kujaa itachukua miaka miwili pasipo kujali mvua hipo au la, lakini tunaona mpaka Sasahivi miezi mitatu tu bwawa limeisha furika,hapo ndipo tunapata mashaka na majibu ya Makamba na nia ya huu mradi wa bwawa, Maana Makamba alitaraji huu mradi ukwame iliaseme Magufuli alikurupuka kuuanzisha, lakini kila akilala na kuamka anaona mambo yanasonga.
Kama ukihojiwa humu unaona unachoshwa, pita kimya kimya tu!!Kwan point za Makamba kupinga ujenzi wa hilo bwawa miaka hiyo ya JPM hunazo?
Zitafute usichoshe watu kukujib ilihal uwezo wa kusaka taarifa unao mkuu
Ndio mana jiwe alimuacha akakae huko Bumbuli patamfaa zaidi.Hahahahahah yani huyo jamaa ni shida kweli kweli.
Kivingine vipi na wewe jibwa la ccm?Nyie Sukuma Gang si ndio mlikuwa mkisema mradi umekufa sababu Kalemani wa Chato alitumbuliwa, akawekwa Makamba?
Leo hii linajazwa maji mnaanza kuja kivingine...!
Miaka miwili iko wapi sasa mliosema eti bwawa halitajaa mpaka miaka miwili! Ila nyie maccm!? Mnalaaana!Sukuma Gang mumegundua kuwa matusi na kashfa zenu kwa Rais Samia haziwasaidii mnaanza kujisogeza kwake. Too late ameshawadharau na kuwapuuza mtabaki mnabweka bweka kama mbwa koko tu
Umepaniki?.Akili zikichanganyika na haja kubwa ndiyo zinatoa upuuzi kama huu. Unafikiri kufua umeme wa ukubwa ule ni sawa na kufua umeme wa kuwashia taa ya baiskeli?
Well said mkuu, barikiwa sana kwa moment hiyo.Pamoja na yooote, yule Mwamba aliyelala chato aka JPM alikuwa mwamba na chuma kwelikweli...
Si mchezo kuwa na maamuzi magumu na kuanzisha miradi mikubwa yoote hiyo kwa pamoja ni ujasiri na ndio tunasema JPM alikuwa mwamba aka mwanamume.
awamu zote hakuna hata aliyethubutu hata kujaribu kuligusa hilo fupa la stieggler zaidi ya blahblah tu, awamu zote hakuna aliyehata thubutu kukarabati reli zote zifanye kazi efficiently lakini mwamba aliamua kujenga SGR kabisa..
awamu zote hakuna hata aliyefikiri kujenga lile daraja pale busisi Mwanza kuelekea sengerema na Geita..
Miaka yooote tulikuwa tunalia na wami pale kuunganisha mikoa ya kaskazini na vifo vilitokea daily lakini Mwamba amri moja tu Daraja lile pale...
Pumzika kwa amani JPM umefanya kazi yako kwa nguvu zako zote kwaajili ya Tanzania, Mwenyezi Mungu akuondolee adhabu kaburi na akujalie Pepo pia kwa kusamehe dhambi zako.. Amen
Punguzeni ujuaji, mlisema bwawa halitaisha sababu mafisadi wanahujumu mradi. Alafu mlisema ni pesa za ndani Sasa ni nani huyo anadai marejesho?Kwani unafikiri huo mradi wameumalizia kwa kupenda. Ni vile ulikuwa ushaenda mbali zaidi na hela yake inadaiwa marejesho. Ila ingekuwa kwa fedha zetu bila kufuatiliwa wasingeendelea nao.
Walisema litajaa baada ya miaka miwili sijui february alirumia hesabu ganiTunazungumzia mvua kunyesha na bwawa kujaa hata baada ya kukatwa miti millioni 3 kama ambavyo mliainisha hapo mwanzo juu ya uwezekano wa bwawa kujaa.
Ww naona ndo mjinga namba mojaU
Umeandika ujinga tu
Watakuwambia mwendazake alitia hasara nchi kwa kuanzisha miradi mingi bila ya kuwa na fedha .lakini ukipita hivi utasikia simbio kalipwa 350bilion hii nchi inawatu washenzi sanaPamoja na yooote, yule Mwamba aliyelala chato aka JPM alikuwa mwamba na chuma kwelikweli...
Si mchezo kuwa na maamuzi magumu na kuanzisha miradi mikubwa yoote hiyo kwa pamoja ni ujasiri na ndio tunasema JPM alikuwa mwamba aka mwanamume.
awamu zote hakuna hata aliyethubutu hata kujaribu kuligusa hilo fupa la stieggler zaidi ya blahblah tu, awamu zote hakuna aliyehata thubutu kukarabati reli zote zifanye kazi efficiently lakini mwamba aliamua kujenga SGR kabisa..
awamu zote hakuna hata aliyefikiri kujenga lile daraja pale busisi Mwanza kuelekea sengerema na Geita..
Miaka yooote tulikuwa tunalia na wami pale kuunganisha mikoa ya kaskazini na vifo vilitokea daily lakini Mwamba amri moja tu Daraja lile pale...
Pumzika kwa amani JPM umefanya kazi yako kwa nguvu zako zote kwaajili ya Tanzania, Mwenyezi Mungu akuondolee adhabu kaburi na akujalie Pepo pia kwa kusamehe dhambi zako.. Amen