Kujaa kwa Bwawa la Mwl. Nyerere ni aibu kubwa kwa mafisadi

Kujaa kwa Bwawa la Mwl. Nyerere ni aibu kubwa kwa mafisadi

Mnawaonea ufipa ila wa kwanza kupinga huo mradi ni waziri wako wa nishati na mwenzake Nape bungeni walisimama na kupinga huo mradi kisa mazingira.Ufipa walikuwa wanatoa angalizo tu kuhusiana na mchakato.
Limekamilika sasa
 
Hii ndo point ila hawa walamba asali sidhani kama watafanya hivo
Maji hayazuiliwi kabisa kupita. Mto upande wa chini utaendelea kuwa na maji yanayohitajika kwa ajili ya kilimo na matumizi ya wanyama, binadamu nk. kama kawaida. Maji ya ziada ambayo wakati mwingine husababisha mafuriko ndio yanayotumika kujaza bwawa. Mabwawa hujengwawakati mwingine kwa ajili ya kuzuia mafuriko na kuweka maji ya akiba wakati wa ukame
 
Kubwa Tunalongoja Ni Kushuka Bei Ya Umeme, Kukomesha Mgawo Wa Umeme, Kuzuia Uingizwaji Majenereta Ili Tuione Furaha Ya Kuwa Na Bwawa Kubwa
 
Naona majizi ya kura mlikuwa mnadanganyana kuwa hilo lambo litajaa maji baada ya miaka miwili. Tulikuwa tunawachora tu mnavyoongizana mjini.
Haa Haa Ila Walitupanga Muda Wa Kujaza Watu Walisema Mbona Miaka Mingi Sana
Leo Wanasema Mwezi Wa Tisa Tunabofya Kidude Kuwasha Mtambo
 
Kwakweli ni aibu kubwa kwa Januari. Tunamshukuru sana Mama Samia kwa uamuzi makini.

Wewe KENGE tuliza mshono!!

Mmepata aibu kajificheni!! Mwambie na mumeo Zitto kwamba mradi mlioukataa ndo hivyo Mungu kawaumbua
Kwa hiyo sasa hivi mmekubali Makamba na Samia wanapiga kazi?
 
Back
Top Bottom